Natafuta mume njoo tuyajenge

Sauti ya kubembeleza yani mie kwa mwanaume cha kwanza na fall in love kwa sauti yke na ajue kubembeleza mubashara kila la heri mama
 
Kwa ugeni wangu humu naweza ikawa bahati yangu... Ni pm mrembo....
 
Miaka 28 awe kacheza kachokaa....dada una masihara 28 achoke au ndo anapiga jalamba....Asiwe na tamaa daah tatizo moja tu kile kichwa cha chini kinapingana na kauli hiyo. Anyway kila la kher mkuu.....Ngoja maji ya kunde waje.
 

Unataka sauti ya kubembeleza, nunua kasuku tu
 

Dada ushapata???Kama bado naomba kukaribia PM
 
Binafsi nimeumizwa sana matokeo mabuvu ya simba sport club nahisi nitakufaa sana
 
Ni pm nina sifa zooote ila nipo zaidi ya serious.
 
Eti awe kacheza kachoka hana tamaa!!
Naona unakinzana na biological nature.
Hata maandiko yanasema tamaa ya mwanaume ni kwa mwanamke!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…