Daby
JF-Expert Member
- Oct 26, 2014
- 33,894
- 76,810
Kwanini sasa? Wifi yako anakupenda atiKenya tena!!! Huko nenda peke yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwanini sasa? Wifi yako anakupenda atiKenya tena!!! Huko nenda peke yako.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Awe ameumizwa na nini?silaha au mapenzi?
Ananipenda ananifahamu? Kila siku unanitambulisha wifi mpya!!!Kwanini sasa? Wifi yako anakupenda ati
Hii ya kubembelezwa ni ugonjwa wetu wengi.Sauti ya kubembeleza yani mie kwa mwanaume cha kwanza na fall in love kwa sauti yke na ajue kubembeleza mubashara kila la heri mama
Ni binti mwenye umri wa miaka 25 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhati.
Sifa zangu;
Sina mtoto
Sijawai olewa
Nimewai kuwa na mahusiano
Elimu kidato cha nne
Sio mnene wala sio mwembamba
Rangi ya kati
Mjasiriamali
Sifa za ninae mtaka;
Awe ameumizwa
Maji ya kunde
Umri 28 kuendeea
Awe kacheza kachoka hana tamaa
Awe anajituma na apende ujasiriamali
Awe anajua kubembelezaa sio unakua na mtu utafikili mpo CCP Moshi au JKT
NB: Naomba awe na mapenzi ya kweli mchapa kazi na awe na sauti ya kubembeleza.

Eti awe kacheza kachoka hana tamaa!!Ni binti mwenye umri wa miaka 25 natafuta mwanaume mwenye mapenzi ya dhati.
Sifa zangu;
Sina mtoto
Sijawai olewa
Nimewai kuwa na mahusiano
Elimu kidato cha nne
Sio mnene wala sio mwembamba
Rangi ya kati
Mjasiriamali
Sifa za ninae mtaka;
Awe ameumizwa
Maji ya kunde
Umri 28 kuendeea
Awe kacheza kachoka hana tamaa
Awe anajituma na apende ujasiriamali
Awe anajua kubembelezaa sio unakua na mtu utafikili mpo CCP Moshi au JKT
NB: Naomba awe na mapenzi ya kweli mchapa kazi na awe na sauti ya kubembeleza.
Ndugu wewe bado sana yule wako atakuja humu huwezi kupata mwanaume utaishia kudangangwa na hiyo pesa yako unayotafuta wakuibie akina Mario wamejaaa tele
Ndugu wewe bado sana yule wako atakuja humu huwezi kupata mwanaume utaishia kudangangwa na hiyo pesa yako unayotafuta wakuibie akina Mario wamejaaa tele