Natafuta mume (rafiki na msiri wangu)

Sasa kila mtu anamwambia dada wa watu aende pm, ataenda pm ngapi?
Inabidi sasa hv haya matangazo yawe simpo. Kwa mfano huyu dada aweke kichwa cha habari kua anatafuta mume baas! Af kila mtu ajimwage sifa zake achague mwenyewe.
Ni mtazamo tu. Usijenge chuki
 
Weka picha pm...Nina shida na watu WA Arusha ........maaana umesema mweupe....Ila uwe tayari Ku check
 
Agreed
 
Mimi nilikuwa mwajiriwa serikalini nikaacha kazi na mshahara wangu ulikuwa take home 1.2 na sikuwa na mkopo na sasa niliweka NMB bonus account million 350 unajua nakula shilling ngapi kwa mwaka kwa vipindi vitatu? Njoo tuyajenge Niko Moshono
 
Bahati mbaya cc wachamungu hutuhitaji ila unahitaji wenye kumuamini mungu tu daaa
 
Kwa hiyo sisi jobless hautuhitaji.

Halafu umbo la mwanamke wa kiTz ndio likoje?
 
Mungu akupe hitaji la moyo wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…