Natafuta mume (rafiki na msiri wangu)

Tafuta pesa bro, hata wewe huwezi kumuozesha binti yako kwa pangu pakavu,
Mwanaume kama hana njia za kumuingizia kipato ataleaje familia.
 
Wahuni mmemnyea Arachuga wa watu hadi kasepa zake, mmemshambulia kweli kweli
😂😂😂😂
 
kwanza pata hao watatu wa mwanzo, kwa maana ya mme, mpenzi na rafiki hawa waliobaki utatafuta kidogo kidogo
 
Gender ya mwanamke kwa kifupi huitwa mtu mke, kifupi zaidi ke...na mwanaume huitwa mtu mume, kifupi zaidi me
Zikiwa hivyo humaanisha aliyeolewa au kuoa
 
 
Zikiwa hivyo humaanisha aliyeolewa au kuoa

Sio lazima...

Mathalani kwenye biblia lugha ya mtu mume/mtu mke imeandikwa sana ikielezea mwanaume au mwanamke...

Kutoka 21
28 Ng'ombe akipiga pembe mtu mume au mtu mke, nao wakafa, huyo ng'ombe atauawa kwa kupigwa kwa mawe, nyama yake isiliwe; lakini mwenye huyo ng'ombe ataachiliwa.
 
Niliweka tangazo hapa natafuta single mother tuyajenge maisha naona ulikuwa offline.

Karibu inbox tuzungumze
 
Asiefanya kazi na asile. Sasa mwanaume unakuwaje huna kazi halali?
Ushasema ndoa ni maisha halisi, sasa kama ndio hivyo mwanaume huna kazi unaoa ili ugundue mbadala wa oxygen au?[emoji15][emoji15][emoji15]
 
Kila la kheri mwaya japo kuwa makini ukishaona mtu ana maswali meengi yasiyo na kichwa wala miguu hapa, ambayo angeweza kukuliza huko pembeni na ukampa majibu ujue hana nia.
Na sio tu nia bali ni ukosefu wa adabu na malezi mabovu.
Nchi ina vijana wa hovyo sana hii.
 
Halafu waliopata waume Au ndoa uzichezea ni kuziona kitu gani
 
Kwa kuanzia..mume ni lazima awe na kazi. Mambo ya kukosa kazi na uvumilivu tutajua mbeleni.

Pata mtoto wa kike hlf aje akwambie baba nimepata mchumba hana kazi anataka kunioa.🤔
 
Njoo PM tuyajenge
 
Umeongea ukweli....

Kwa nini wahitaji mtu ambaye anakazi? au mwenye mfanya biashara? Je siku hali ikibadirika na ndoa itakuwa imeisha? yaani ndiyo maana huwa nawashauri kuwa siyo sawa kuhitaji mtu ambaye tayari amestable financially kwanini usitafute mtu ambaye mnaweza anza maisha pamoja? huwa mnakera muda mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…