Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,490
- 21,398
Tafuta pesa bro, hata wewe huwezi kumuozesha binti yako kwa pangu pakavu,Shida ya wanawake wa sasa wanatafuta mfanyakazi au mfanyabiashara kwenye ndoa. Badala ya kutafuta mume ndiyo maana hamuolewi.
Hata akikuoa siku akifukuzwa kazi au biashara zikiyumba utamkimbia. Mnatanguliza masilahi mbele kuliko utu.
Kumbuka ndoa ni maisha halisi. Kuna kufukuzwa kazi, biashara kuyumba au kuugua. Utaweza kuvumilia hayo ikiwa uliingia kwenye ndoa kwasababu mumeo ni muajiriwa, amejiajiri au mfanyabiashara?
Mwanaume kama hana njia za kumuingizia kipato ataleaje familia.