Natafuta mume "very serious"

mama ushapata? maana mi nilisubiri kwanza watu wapungue, nimejitahidi sana kusubiri mpaka leo
 
Nadhani mtu mwenye msimamo ni muhimu sana katika mas'ala ya ndoa. Sasa wewe yaonyesha msimamo wako haueleweki.
 
hivi nyie watu wasiojulikana tumewakosea nini? mbona kila sehem mnatufuata?
 
ukipata mume usisite kutoa kadi ya mualiko kwa members wote kama shukran[emoji13]
 
nimependa jasiri wa kuweka wazi lako tatizo Mungu akubarikie mwema
 
Ushaa mpata hadi Leo au bado? Kama bado njoo huku na kama tayar weka mrejesho hapa
 
Misifa kibao isiyo na tija. Aliyekwambia wanaume wanaoa ajira au hayo makolokolo mengine uliyotaja ni nani?
Hayo mengi uliyoyapitia,hao hawakuwa wanaume? Leo hii new member,first thread natafuta mwanaume. Umekunywa bia za watu na kula vitimoto vya kununuliwa,ukashindwa kujitambua,leo hii unatafuta pa kujificha,na vigezo juu. Nenda baa,ndo wapo staili yako
 
Kama kweli unashida ya mume mi nipo tayari ila utakuwa mke mdogo kama umekubali sema
 
Mdomo wako unauwezo mkubwa kuliko ubongo wako ndo maana unaropoka kama lomo lomo
 
Mdomo wako unauwezo mkubwa kuliko ubongo wako ndo maana unaropoka kama lomo lomo

Wale wale tu. Kungulu wasiofugika. Haina shida,ujumbe si umepokea lakini? We ongezea na mengine ulosahau. Mmezunguuka baa zote, makanisa yote, kila kona ka mna pepo la ngono. Mwishowe mizoga mnatafuta wa kuwakabidhi JF. Huku nako geti tayari limefungwa.Jaribuni kwingine
 
Hongera.
Ninaamini utaolewa na mtu sahihi wako MUNGU akusimamie wasijiingize wahuni kukuharibia. Nimeipenda.
 
Umeshata? Kama bado njoo pm
 
Du!wagosi wa kizigula wasila mpaka ulonde jf,so kwangu,inaonekana uliachika au sijaelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…