Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mdomo wako unauwezo mkubwa kuliko ubongo wako ndo maana unaropoka kama lomo lomoMisifa kibao isiyo na tija. Aliyekwambia wanaume wanaoa ajira au hayo makolokolo mengine uliyotaja ni nani?
Hayo mengi uliyoyapitia,hao hawakuwa wanaume? Leo hii new member,first thread natafuta mwanaume. Umekunywa bia za watu na kula vitimoto vya kununuliwa,ukashindwa kujitambua,leo hii unatafuta pa kujificha,na vigezo juu. Nenda baa,ndo wapo staili yako
Mdomo wako unauwezo mkubwa kuliko ubongo wako ndo maana unaropoka kama lomo lomo
Hampati mtu."watu wasiojulikana"
Good luck bidada
Hongera.Hallow JF members,, Mimi ni msichana wa Kitanzania kwa mara ya kwanza najitokeza ktk jukwaa hili kutafuta mwanaume ambaye Mungu akijaalia Inshaallah awe mume wangu.
Sifa zangu..
Umri 28
kidini ni Muislam
Elimu bachelor degree
Kabila langu ni mzigua
Mimi sio tegemezi ni mtafutaji pia nimeajiriwa.
Situmii kilevi chochote.
Sifa za nimtakaye.
Umri 3o+
Elimu at least kuanzia form six
Awe muislam bt akiwa mkristo si mbaya coz dini tumezikuta.
Kabila lolote la ndani ya Tanzania.
Awe na upendo wa dhat.
Awe amejiajiri au ameajiriwa inshort awe na shughuli inayoeleweka ya kumuingizia kipato coz mimi pia najishughulisha.
Akiwa na mwili kidogo itapendeza napenda mwanaume mnene.
Asivute sigara wala Bangi.
Kama anakunywa basi iwe ya kistaarab.
Asiwe mume wa mtu coz sihitaji ndoa ya mitala.
Kwa mwanaume ambaye yupo serious kwa ajili ya kupata mwenza plz tuwasiliane pm.
NB
Nimepitia mengi ktk mahusiano so mpaka kufikia kuja kupost huku basi jua namaanisha kweli kutafuta mume, sidhani kama itakuwa ni busara kunipm kama haupo serious.
Umeshata? Kama bado njoo pmHallow JF members,, Mimi ni msichana wa Kitanzania kwa mara ya kwanza najitokeza ktk jukwaa hili kutafuta mwanaume ambaye Mungu akijaalia Inshaallah awe mume wangu.