Natafuta mume wa kuishi nae, nyumba ipo

Natafuta mume wa kuishi nae, nyumba ipo

Nahitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi.
Uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua maisha ni mipango tu.

Kama una watoto wasiwe wengi na uje na dada yao tutamlipa maana mimi nimeajiriwa narudi nyumbani jioni. Ila uwe mtu mzima na akili timamu za mapenzi na maisha .Miaka 35 kwenda juu vijana sitaki kabisa

Naishi mkoa wa Dar es salaam
miaka yangu 35 sina mtoto bado

ieleweke sio lazima uishi kwangu hayo ni maamuzi yako tu .ila kama umepanga bora tukae kwangu maana ni bure hatutalipa ili tujipange
 
Ninaposoma thread km hizi, huwa natabasamu tu. Zina ninanifanya nijisikie raha sana. all the best
 
Nahitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi.
Uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua maisha ni mipango tu.

Kama una watoto wasiwe wengi na uje na dada yao tutamlipa maana mimi nimeajiriwa narudi nyumbani jioni. Ila uwe mtu mzima na akili timamu za mapenzi na maisha .Miaka 35 kwenda juu vijana sitaki kabisa

Naishi mkoa wa Dar es salaam
miaka yangu 35 sina mtoto bado

ieleweke sio lazima uishi kwangu hayo ni maamuzi yako tu .ila kama umepanga bora tukae kwangu maana ni bure hatutalipa ili tujipange
Niko tayari Sina gari sina Nyumba
 
Tunaomba picha yako😀😀😀😀😀😀😀😀... mashart yasije yakawa meeeengiiii kumbe umzuriiii wa kupindukia😉
 
roho mbaya tu inakusumbua .kama wewe hutaki ni wewe kaa na maisha yako
Tangu uanze izi harakati una watu wangapi na mchujo unafanyika vp? Ingekuwa uko real lisaa limoja tu unafuta na post yenyewe coz wanaojitokeza ni wengi na unadai bado hujapata au unamsubiri malaika ndo umkubali! Kwa maoni yangu hii ni biashara na hii ni marketing nadhani una stock ya wateja wa kutosha xana kwa sasa hongera kwako kwa kuwateka
 
bado sijamjibu mtu yoyote maana sitaki mtu wa kunidanganya na nyie hamueleweki
sasa uta wajuaje bila kuwa jibu au una subiri malaika aje kukujibia wewe kama nia unayo tumia.akili tu na uwelewa njia yako ya kuto wajibu sio sahihi bali uta sababisha wakuone muhuni tu
 
Mwenzangu yale maakili sio ya dunia hii,ndio maana nimedata [emoji85]
Nisingeweza kuresist sis.
Haaa haa Nifah.

Ujue umenikumbusha Lara1 na msemo wake wa "kususia"

Nawe umejisusa kwa Bold[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom