Natafuta mume wa kuishi nae, nyumba ipo

Natafuta mume wa kuishi nae, nyumba ipo

Hawa ndio wale wanao tumwa na serikal kukamata waropokaji JF ! Yangu macho tu [emoji848]
 
ila hautaishi bure hapa kwangu .wala usitegemee kunidanganya kama wewe ni muongo nitakujua tu .kama huna mapenzi ya dhati unapenda mteremko bora usinitafute maana hapa sio mahali pake
Sijaelewa hitaji lako hebu fafanua
 
Nahitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi.
Uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua maisha ni mipango tu.

Kama una watoto wasiwe wengi na uje na dada yao tutamlipa maana mimi nimeajiriwa narudi nyumbani jioni. Ila uwe mtu mzima na akili timamu za mapenzi na maisha .Miaka 35 kwenda juu vijana sitaki kabisa

Naishi mkoa wa Dar es salaam
miaka yangu 35 sina mtoto bado

ieleweke sio lazima uishi kwangu hayo ni maamuzi yako tu .ila kama umepanga bora tukae kwangu maana ni bure hatutalipa ili tujipange
Hili dili Lina risk zipi? Maana zali LA mentali Hili.
Niku pm au utani pm? maana mapenzi Mengi ya JF huishia pm na sio Kitandani
 
Fanya faster aisee manake roho inapwitapwita. Mimi sio Muongo aisee. Ila kama wewe mfupi utakuwa sio bahati yangu au kama unajichubua na kuvaa mawigi hamu ya kuoa inakata hapo hapo. Naamin wewe ndo mke wangu Mtarajiwa.

Interest , ladyfurahia, Arushaone Madame B , Bujibuji
mama mtarajiwa ebu msikie huyu kiumbe maana ana angaika kukupata huwenda sir god ndio kakubali maombi yako kupitia kwa huyu jamaa ebu kaeni myajenge
 
Kama mtu unawaza vizuri hii ni changamsha jukwaa tu hakuna mtu anayetaka mume hapa!! Ni kujichoresha tu na mtu mzima mwenye heshima zake hawezi kuja kutaka mke aliyejitangaza hapa na mkipatana ni muhuni+muhuni tu na maisha yaendelee ila sio kama mnavyowaza kwenye vichwa vyenu, mke bora humo hamna na atakayepatikana hatakuwa bora
Kweli mkuu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
ndo
Nahitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi.
Uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua maisha ni mipango tu.

Kama una watoto wasiwe wengi na uje na dada yao tutamlipa maana mimi nimeajiriwa narudi nyumbani jioni. Ila uwe mtu mzima na akili timamu za mapenzi na maisha .Miaka 35 kwenda juu vijana sitaki kabisa

Naishi mkoa wa Dar es salaam
miaka yangu 35 sina mtoto bado

ieleweke sio lazima uishi kwangu hayo ni maamuzi yako tu .ila kama umepanga bora tukae kwangu maana ni bure hatutalipa ili tujipange
a siku hizi zinapotea\
 
Duuu; hii kali na mpya! Lakini imekaa vizuri.
 
Back
Top Bottom