Hii ndio aseme yy why mpaka sasa hata mwanaume aliye tulia au yy ndio tatizo, pia vip hali yako kiafya mama umepima damu kubwa[emoji6]35 huna mtoto, ok tufanye umepata mtoto mwaka huu, mwanao akiwa na miaka 15 we utakuwa na 50 yrs,mbali na hapo mwanao akiwa na miaka 25 we utakuwa na 60, ulikuwa wapi siku zote hadi unakuwa bibi ndo unakumbuka kupata mume, anyway tuambie udhaifu wako ni nini... ?
Nahitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi.
Uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua maisha ni mipango tu.
Kama una watoto wasiwe wengi na uje na dada yao tutamlipa maana mimi nimeajiriwa narudi nyumbani jioni. Ila uwe mtu mzima na akili timamu za mapenzi na maisha .Miaka 35 kwenda juu vijana sitaki kabisa
Naishi mkoa wa Dar es salaam
miaka yangu 35 sina mtoto bado
ieleweke sio lazima uis
i kwangu hayo ni maamuzi yako tu .ila kama umepanga bora tukae kwangu maana ni bure hatutalipa ili tujipange
Kuna huyu hapa na yeye anatafuta.Nahitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi.
Uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua maisha ni mipango tu.
Kama una watoto wasiwe wengi na uje na dada yao tutamlipa maana mimi nimeajiriwa narudi nyumbani jioni. Ila uwe mtu mzima na akili timamu za mapenzi na maisha .Miaka 35 kwenda juu vijana sitaki kabisa
Naishi mkoa wa Dar es salaam
miaka yangu 35 sina mtoto bado
ieleweke sio lazima uishi kwangu hayo ni maamuzi yako tu .ila kama umepanga bora tukae kwangu maana ni bure hatutalipa ili tujipange
boxer zote narusha barabarani hukoUngemwambia aje na begi lake, ili akizingua unamtupia begi nje
at last you are released. I missed youkumbe ndo maana simuoni Bujibuji wangu kumbe keshahamia
aiyaa bae wangu nikajua ushahamia etiat last you are released. I missed you
Nihamie Wapi? was waiting for you. Nilikuwa pale kwenye geti LA Keko ya JF, kumbe Mod 1 kakuhamishia gereza alilopo Lemaaiyaa bae wangu nikajua ushahamia eti
Wew Tangaza kuwa UNAHITAJI Mume, usiongeze masuala ya NYUMBA !Nahitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi.