Playboy
JF-Expert Member
- Aug 11, 2011
- 1,170
- 941
Hii ndio aseme yy why mpaka sasa hata mwanaume aliye tulia au yy ndio tatizo, pia vip hali yako kiafya mama umepima damu kubwa[emoji6]35 huna mtoto, ok tufanye umepata mtoto mwaka huu, mwanao akiwa na miaka 15 we utakuwa na 50 yrs,mbali na hapo mwanao akiwa na miaka 25 we utakuwa na 60, ulikuwa wapi siku zote hadi unakuwa bibi ndo unakumbuka kupata mume, anyway tuambie udhaifu wako ni nini... ?