Natafuta mume wa kuishi nae, nyumba ipo

Fursa pendwa mm sijakidhi vigezo japo nataman sana kulelewa
 
Aisee kweli wee dada upo serious hata akauti hii uliifungua kwa ajili hiyo
 
Mimi nina baiskeli sina gari, kwahiyo vipi?
 
Inategemea Nifah asee mi niko nae wa 20's mwenzangu yaani nataka kuhama nchi

Khaaa si kwa utoto toto huu...
 
Inategemea Nifah asee mi niko nae wa 20's mwenzangu yaani nataka kuhama nchi

Khaaa si kwa utoto toto huu...
Uwiiiiiii jamani pole mwaya.
Mimi namshukuru Mungu na Bold wangu tupo kwenye 20's zetu lakini ni kama tupo kwenye 30's maana sio kwa utulivu na kujielewa huku.

Nakuombea kheri dearest,huenda akatulia au ukiona hakuna dalili sepa mama b4 it's too late.
Huenda sipo unapotakiwa kuwepo.
 
Mimi nikiruhusiwa natia mimba tuuu then naendelea na maisha yangu mengine.
Kwa hilo sina tatizo
 
Hahahahahahahahah aiseee sio baat yangu ila ningekuponza huwez amin nlipoona tu eti unanyumba nikawaza kuiuza
 
Kila jambo linahappen kwa reason watanzania kuweni waelewa
Kuna lengo ambalo hii headline imekusudia achen mama huyu apate kusudio la moyo wake
Kejeli hazijengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…