Natafuta mume wa kuishi nae, nyumba ipo

Natafuta mume wa kuishi nae, nyumba ipo

watakuja wengi sana kwa jinsi tu ulivyo jielezea mana kuna baadhi ya watu wanapenda sana miteremko...!!!
 
Nahitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi.
Uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua maisha ni mipango tu.

Kama una watoto wasiwe wengi na uje na dada yao tutamlipa maana mimi nimeajiriwa narudi nyumbani jioni. Ila uwe mtu mzima na akili timamu za mapenzi na maisha .Miaka 35 kwenda juu vijana sitaki kabisa

Naishi mkoa wa Dar es salaam
miaka yangu 35 sina mtoto bado
Mahali hakuna kulipa ?.
 
Umeathirika umeachwa mjane unatapatapa
 
Mama mtarajiwa una mambo sana.
Ngoja nikupe ushauri kidogo...usidanganyike na umri ktk mapenzi.

Binafsi nilikuwa na imani kama yako kuwa wanaume walioko kwenye 30's ndio wenye akili timamu za maisha na mapenzi lakini baada ya kuwa nao nimegundua hawana lolote kupitia mpenzi wangu wa sasa mwenye umri chini ya miaka 30.

Labda nawe uwe kwenye miaka ya 30 ila kama ni chini ya hapo my dear ondoa hiyo mentality haraka sana.

Otherwise, all the best.
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Kumbe unavuliwa chupi na mtoto mdogo
 
kila kitu ninacho
Sasa wanaume watakuogopa! Unataka mwanaume ndio aje kwako! Sasa hapo atakuwa anaoa au anaolewa? Wanaume wengi wangependa wewe uwe tayari kuiacha nyumba yako na kwenda kwa mume hata kama anapanga chumba kimoja! Halafu hiyo nyumba yako unapangisha!
Nakutakia kila la heri! Ila Serengeti boys miaka 17-20 usiwafungie mlango! Wana vitu adimu kukufanya ujisikie malaika unapaa nyakati fulani hivi!
 
Mama mtarajiwa una mambo sana.
Ngoja nikupe ushauri kidogo...usidanganyike na umri ktk mapenzi.

Binafsi nilikuwa na imani kama yako kuwa wanaume walioko kwenye 30's ndio wenye akili timamu za maisha na mapenzi lakini baada ya kuwa nao nimegundua hawana lolote kupitia mpenzi wangu wa sasa mwenye umri chini ya miaka 30.

Labda nawe uwe kwenye miaka ya 30 ila kama ni chini ya hapo my dear ondoa hiyo mentality haraka sana.

Otherwise, all the best.
washamezeshwa ivyo wanawake wengi ndo tatizo ilo wakati ishu ni uelewa tuu na kujitambua.
 
Sasa kama hauna mtoto unaogopa nini kua na mwanaume ambaye atakua chini ya hiyo miaka 30? Kwa umri huo mwanaume hana mtu itakua siyo kweli yatakua ni maigizo.
 
Back
Top Bottom