Raimundo
JF-Expert Member
- May 23, 2009
- 13,416
- 12,618
Kama sikosei aliwahi kuja na thread ya kuwa ni mjamzito wa mwezi mmoja na mhusika alikataa mimba.
Au sio huyu?
Nadhani siyo huyu maana thread zake zote nimezicopy kwenye ile post ya kwanza uliyoniquote.