Natafuta mume wa kuishi nae, nyumba ipo

Natafuta mume wa kuishi nae, nyumba ipo

Nahitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi.
Uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua maisha ni mipango tu.

Kama una watoto wasiwe wengi na uje na dada yao tutamlipa maana mimi nimeajiriwa narudi nyumbani jioni. Ila uwe mtu mzima na akili timamu za mapenzi na maisha .Miaka 35 kwenda juu vijana sitaki kabisa

Naishi mkoa wa Dar es salaam
miaka yangu 35 sina mtoto bado
Maeneo gani nije fasta?
 
Kweli wanaume wote mtaani,kazini,barabarani hujawaona hadi huku.usijali utampa atakayekidhi vigezo
 
Mama mtarajiwa[emoji47] [emoji47] [emoji102] okay...goodluck kwa One0one wako
 
Back
Top Bottom