Natafuta mume wa kuishi nae, nyumba ipo

Natafuta mume wa kuishi nae, nyumba ipo

Binafsi nilikuwa na imani kama yako kuwa wanaume walioko kwenye 30's ndio wenye akili timamu za maisha na mapenzi lakini baada ya kuwa nao nimegundua hawana lolote kupitia mpenzi wangu wa sasa mwenye umri chini ya miaka 30.

Unatafuta mwanaume wa kukuoa ambaye ni over 35, most likely utakutana na waume za watu wa kukuchezea mwisho wa siku unakuja na thread kama ya mdau mmoja hapa chini:-

Wanaume mlioko kwenye ndoa humu mitandaoni mjiheshimu
 
Nahitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi.
Uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua maisha ni mipango tu.

Kama una watoto wasiwe wengi na uje na dada yao tutamlipa maana mimi nimeajiriwa narudi nyumbani jioni. Ila uwe mtu mzima na akili timamu za mapenzi na maisha .Miaka 35 kwenda juu vijana sitaki kabisa

Naishi mkoa wa Dar es salaam
miaka yangu 35 sina mtoto bado
Niko tayari ni pm am 42.
 
Masharti haya ni pamoja na dozz kila siku au? Je, utanihudumia chakula bora nipate nguvu ya kukutosheleza?? Hivi, out vipi?? Nnani atalipia? Na huu utitiri wa watoto wangu, utaongeza nawe wa kwako kutoka kwangu? Huenda nikijibiwa hayo, nakuhakikishia, sintakuangusha
 
Nahitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi.
Uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua maisha ni mipango tu.

Kama una watoto wasiwe wengi na uje na dada yao tutamlipa maana mimi nimeajiriwa narudi nyumbani jioni. Ila uwe mtu mzima na akili timamu za mapenzi na maisha .Miaka 35 kwenda juu vijana sitaki kabisa

Naishi mkoa wa Dar es salaam
miaka yangu 35 sina mtoto bado

Vp hapo nyumbani kuna parking ya gari maana nipo tayari ila nitakuja nakigari chetu nikimaanisha chetu mimi na wewe
 
Mama mtarajiwa una mambo sana.
Ngoja nikupe ushauri kidogo...usidanganyike na umri ktk mapenzi.

Binafsi nilikuwa na imani kama yako kuwa wanaume walioko kwenye 30's ndio wenye akili timamu za maisha na mapenzi lakini baada ya kuwa nao nimegundua hawana lolote kupitia mpenzi wangu wa sasa mwenye umri chini ya miaka 30.

Labda nawe uwe kwenye miaka ya 30 ila kama ni chini ya hapo my dear ondoa hiyo mentality haraka sana.

Otherwise, all the best.
asante kwa ushauri ila najiona safe nikiwa na mzee mwenzangu
 
Naona huyu dada ana dhamira ya dhati maana ameanza muda mrefu kutafuta mwenza, ni pm ufafanuzi ili nione kama naweza kusaidia, nikuunganishe na mwanaume ambae pia anatafuta mke ni mtu mzima kama mtaridhiana
 
Mama mtarajiwa una mambo sana.
Ngoja nikupe ushauri kidogo...usidanganyike na umri ktk mapenzi.

Binafsi nilikuwa na imani kama yako kuwa wanaume walioko kwenye 30's ndio wenye akili timamu za maisha na mapenzi lakini baada ya kuwa nao nimegundua hawana lolote kupitia mpenzi wangu wa sasa mwenye umri chini ya miaka 30.

Labda nawe uwe kwenye miaka ya 30 ila kama ni chini ya hapo my dear ondoa hiyo mentality haraka sana.

Otherwise, all the best.
Mama hili mbona kama dongo kwa naniliu!![emoji85] [emoji85] [emoji85]
 
Back
Top Bottom