Natafuta mume wa kuishi nae, nyumba ipo

Natafuta mume wa kuishi nae, nyumba ipo

Wanaume sifa yetu sio vya bure wadau... Tufatisheni hata vitabu vinasema tutakula kwa jasho... Naona mteremko kila mtu anataka PM. Tuwe Macho
 
kumbe wapo hivo? asante kwa kunialart .kazi sana
Aisee mimi nmesubiri majibu ya PM yangu hadi nmechoka, kama umenitema nichane live hapa hapa niupply kwingine.

Halafu natumia nafasi hii kutoa Tangazo kwamba nimeokota kitambulisho cha mpiga kura cha @espy . Mwambieni aje PM.
 
Mimi kigezo ninatosha , je unaweza kukamua maziwa ,Mimi ni mfugaji .
 
Nahitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi.
Uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua maisha ni mipango tu.

Kama una watoto wasiwe wengi na uje na dada yao tutamlipa maana mimi nimeajiriwa narudi nyumbani jioni. Ila uwe mtu mzima na akili timamu za mapenzi na maisha .Miaka 35 kwenda juu vijana sitaki kabisa

Naishi mkoa wa Dar es salaam
miaka yangu 35 sina mtoto bado

ieleweke sio lazima uishi kwangu hayo ni maamuzi yako tu .ila kama umepanga bora tukae kwangu maana ni bure hatutalipa ili tujipange
Here we go ..naomba uni PM uniingize kwenye interview uone kama nakidhi unachotafuta
 
Mama mtarajiwa una mambo sana.
Ngoja nikupe ushauri kidogo...usidanganyike na umri ktk mapenzi.

Binafsi nilikuwa na imani kama yako kuwa wanaume walioko kwenye 30's ndio wenye akili timamu za maisha na mapenzi lakini baada ya kuwa nao nimegundua hawana lolote kupitia mpenzi wangu wa sasa mwenye umri chini ya miaka 30.

Labda nawe uwe kwenye miaka ya 30 ila kama ni chini ya hapo my dear ondoa hiyo mentality haraka sana.

Otherwise, all the best.
nimempata ex wangu humuhumu nimeona nirudiane nae nimemuomba msamaha maana mimi ndo nilimuacha
 
Back
Top Bottom