Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee mimi nmesubiri majibu ya PM yangu hadi nmechoka, kama umenitema nichane live hapa hapa niupply kwingine.kumbe wapo hivo? asante kwa kunialart .kazi sana
Masharti yake magumu huyu mdada, yaani anatafuta mwanaume mtu mzima mwenye umri wa 40+ aliye single?Kwa jitihada ulizonazo Mungu atakusaidia kwa kweli.
Natafuta familia kupitia mtandao huu
Bado sijapata mume wa familia
Nimekosa mwanaume 'serious'
Wanaume mlioko kwenye ndoa humu mitandaoni mjiheshimu
Here we go ..naomba uni PM uniingize kwenye interview uone kama nakidhi unachotafutaNahitaji mume wa kuishi nae nyumba ipo nina vyumba viwili tutakaa hadi tujenge hakuna kulipa kodi.
Uje na vitu vya ndani vyote .ukiwa na gari itapendeza zaidi ila kama huna njoo tu tutanunua maisha ni mipango tu.
Kama una watoto wasiwe wengi na uje na dada yao tutamlipa maana mimi nimeajiriwa narudi nyumbani jioni. Ila uwe mtu mzima na akili timamu za mapenzi na maisha .Miaka 35 kwenda juu vijana sitaki kabisa
Naishi mkoa wa Dar es salaam
miaka yangu 35 sina mtoto bado
ieleweke sio lazima uishi kwangu hayo ni maamuzi yako tu .ila kama umepanga bora tukae kwangu maana ni bure hatutalipa ili tujipange
nimeshapataMuacheni wife wngu jamani
nimeshapataNasubiri picha MUBASHARA ndio nije inbox nisije kwaaa tufali
nimeshapata mtu tayariNjoo pm tuyajenge! Vigezo na masharti kuzingatiwa
nimempata ex wangu humuhumu nimeona nirudiane nae nimemuomba msamaha maana mimi ndo nilimuachaMama mtarajiwa una mambo sana.
Ngoja nikupe ushauri kidogo...usidanganyike na umri ktk mapenzi.
Binafsi nilikuwa na imani kama yako kuwa wanaume walioko kwenye 30's ndio wenye akili timamu za maisha na mapenzi lakini baada ya kuwa nao nimegundua hawana lolote kupitia mpenzi wangu wa sasa mwenye umri chini ya miaka 30.
Labda nawe uwe kwenye miaka ya 30 ila kama ni chini ya hapo my dear ondoa hiyo mentality haraka sana.
Otherwise, all the best.
Mungu ni mwema nilikutana na mpenzi wangu wa zamani humu tupo pamoja na valentine ipo safi kabisaKwa jitihada ulizonazo Mungu atakusaidia kwa kweli.
Natafuta familia kupitia mtandao huu
Bado sijapata mume wa familia
Nimekosa mwanaume 'serious'
Wanaume mlioko kwenye ndoa humu mitandaoni mjiheshimu
nimepata tayariNaomba unipm