Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
Duuh, jmnNenda Manzese Uwanja wa fisi au buguruni kimboka utampata mumeo fasta
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuh, jmnNenda Manzese Uwanja wa fisi au buguruni kimboka utampata mumeo fasta
Yea nimeona ila haka ka PM kananisumbuaNimesema asizidi 45 years !,
Siku nyingine uwe unasoma comment na kuielewa kwanza kabla ya kukurupuka tu hovyo!!hakuna mwanaume mwenye huo umri halafu hajaoa [kama yupo physically and biologically fit], otherwise unatafuta mgane...
Habari zenu wanaJf ,mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24,natafuta mwanaume wa kunioa ambaye yuko serious tunaweza kuchat PM for more details.
Wasifu wangu kwa ufupi Mimi nina umri wa miaka 24 ,graduate wa chuo kikuu ,sina ajira na pia sina mtoto na wala sijawahi kuzaa.
Mwanaume awe hajazidi 45 years ,asiwe na mke sijajiandaa kuwa second wife.
Kwa watakao kosoa na kukejeli naomba wajue kuwa mapenzi/mpenzi hana sehemu maalum ya kupatikana .Thanks.

MimiHabari zenu wanaJf ,mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24,natafuta mwanaume wa kunioa ambaye yuko serious tunaweza kuchat PM for more details.
Wasifu wangu kwa ufupi Mimi nina umri wa miaka 24 ,graduate wa chuo kikuu ,sina ajira na pia sina mtoto na wala sijawahi kuzaa.
Mwanaume awe hajazidi 45 years ,asiwe na mke sijajiandaa kuwa second wife.
Kwa watakao kosoa na kukejeli naomba wajue kuwa mapenzi/mpenzi hana sehemu maalum ya kupatikana .Thanks.
Ulikuwepo.Acha negativity.Yaani sikupatii picha ukiwa chuo uliringia wanaume vibaya sana na kujidai wewe ndo wewe, sasa hakuna hata wa kukwambia hi
Maskini polee
Nimechelewa kuiona post yako..Hayo ni mawazo ambayo umeamua kuwaza kwa namna hiyo .sidhani kama kuringa ndio sababu pekee ya kutokupata mume .thanks
Mwaka huu tutashuhudia mengi[emoji86]Habari zenu wana JF,
Mimi ni msichana mwenye umri wa miaka 24, natafuta mwanaume wa kunioa ambaye yuko serious tunaweza kuchat PM for more details.
Wasifu wangu kwa ufupi mimi nina umri wa miaka 24, graduate wa chuo kikuu, sina ajira na pia sina mtoto na wala sijawahi kuzaa.
Mwanaume awe hajazidi 45 years, asiwe na mke sijajiandaa kuwa second wife.
Kwa watakao kosoa na kukejeli naomba wajue kuwa mapenzi/mpenzi hana sehemu maalum ya kupatikana.
Thanks.
Upo wapiHabari zenu wana JF,

Habari zenu wana JF,