Natafuta Mume wa kunioa

badi hujafkia stage ya kutaka ndoa ww...unataka mwenye degree?? mtakula hyo degree au
 
Wanawake wanaangalia fursa
Wakishindwa kufanikiwa wakiwa Single wanaamua kuolewa hiyo ndio Fursa ya mwisho kwa mwanamke apate mtu mwenye hela amuoe zikiisha waachane atakuwa tayari ana nyumba na gari na watoto ambao ndio wanamfanya awe mrithi halali wa Mali za Mwanaume kwa sheria za Tanzania. Kwa sheria za Ndoa Tanzania Mwanaume hana haki yeyote
Hata ukimuoa mwanamke mwaka mmoja na alikuja na begi la Karibu Shangazi, Siku mkigombana anaondoka na Harrier na hati ya kiwanja na nyumba mnayoishi inapigwa mnada mgawane.
Huoni ulimkaribisha Shetani kwenye maisha yako akumalize?
 
Dada kwa hizo sifa ulizozitaja hapo umewataja wanaume watano tofauti hakuna mwanaume mweny sifa hizo zote 5 unazozitaka wewe
 
Hiyo wanapigwa wanaume wazembe wazembe. Ingia humu ujionee kwenye kesi za Kuvunja ndoa ni wanawake wangapi wanashinda Tanzlii
 
Nipo hapa
 
0714461314
karibu tuwasiliane
 
Komaa kwenda kanisani utapata. Hapa ndani sijaona bado kichwa cha kuoa dada angu utatapeliwa tu
 
Hii
 
Funguka zaidi karibu pm
 
Miaka 28, bado kijana? Wenzako na umri huo wana watoto 4
 
Degree moja na kuendelea si inatosha hata asipojua kutafuta pesa?!
 
Tupe mrejesho huko PM mnaendeleaje? Maana nimeona invitations kadhaa ya inbox
 
Mbona watafutaji wengi na walio win life hawana hicho kigezo chako cha degree?! Au unataka muwe mnaonyeshana hizo karatas zenu chumban kwenu!. Tafuta Mwanaume smart kichwan, hao wa degree wengi ni waoga wa maisha. Obviously Nina masters lakin sijawahi vutiwa na Mwanamke aliyefika"CHUO KIKUU".
 
Namba yako ya simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…