makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 31,583
- 92,670
We usiniponze mimi, mtoto wa mwanamke mwenzioDada yupo vzr usiogope.
[emoji16][emoji16][emoji16] amenigomea katakataMuombe wawili dia na mie nna shida
Uchoyo huoWanakuwa wamekuja kwaajili yangu shosti
Mie nilikiwa naelekea kwake, kama vipi nizuie hapa hapa, nifupishe safari.Basi wakija nigawie mmoja
Ha haaa msaidieni yupo serious.We usiniponze mimi, mtoto wa mwanamke mwenzio
Hivi mfano ukija kutaka kunioa nikakataa nikakuletea mwanamke mwingine umuoe utakubali? Tuongee uhalisiaUchoyo huo
Ngoja nimfikirie nitampa jibu lake πHa haaa msaidieni yupo serious.
Hata mke wa pili πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈNgoja nimfikirie nitampa jibu lake π
[emoji16][emoji16][emoji16] mambo si haya sasaMie nilikiwa naelekea kwake, kama vipi nizuie hapa hapa, nifupishe safari.
Naoa tu, muhimu si ttunda tuHivi mfano ukija kutaka kunioa nikakataa nikakuletea mwanamke mwingine umuoe utakubali? Tuongee uhalisia
Tunda ndio ndoa yenyeweNaoa tu, muhimu si ttunda tu
Nitampa jibu kesho, acha nimfikirie kwanza πHata mke wa pili πββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈπββοΈ
Naaam sheikhUnyama mwaisa..
Akisema ana shida ya laki, unamwambia awe na subira utamtumia laki na nusu, ila sasa hivi upo kwenye gari unaenda kigoma. π
Kesho sio mbaliNitampa jibu kesho, acha nimfikirie kwanza π