Natafuta Mume wa kunioa


karbu kule jukwaa la dini wewe ni saizi yangu sina haja ya kujenga hoja hapa kwakua sijukwaa husika na sipendi kuvuruga ustarabu jf imekamilika kila idara inasehrmu yake.hapa tuwaachie uhuru wanaotafuta wenza kama wewe umeona mleta mada huna msaada wa alichoomba pita kushoto masiala ya dini njoo kule nikuonyeshe kati yangu mimi na wewe nani yuko gizani.kiroho safi karibu
 

hizo ni chuki zako lakini huna ushahidi wa hayo.
 
Jina lako ni Salma Meza au hilo ulilolitaja au mm naona makengeza ya kusoma
 

!
 
Naitwa Saida Issa ni mkazi wa dar es salaam nina umri wa miaka32 nahitaji mume wa kunioa awe muislam kwa yeyote atakayekua tayari awasiliane na mimi kwa nambari 0653708874

dah,naona chances kama hizi zimenipita........
 
Wewe ni pm tu maana unachotaka si kuolewa?
 
Status ya kule angaza vipi kabla hatujaanza kutuma maombi
Naitwa Saida Issa ni mkazi wa dar es salaam nina umri wa miaka32 nahitaji mume wa kunioa awe muislam kwa yeyote atakayekua tayari awasiliane na mimi kwa nambari 0653708874
 
Bandugu kuna sheria na kanuni za kila nchi, Yaani hivi sasa umarekani wanazui kuvaa T-shirt tuu iloandikwa BenLaden au picha miripuko au uhuru wa mavazi, simbu kuonesha ishara za kidini!! unacho tuandikia ni Baseless!! Saudi Arabia inamsimamo wake ina mwongozo wake haito weza kuvunja kifungu cha katiba zake... KM:- Haijawahi kuteremsha bendera yake hata siku moja!! Sasa hayo maDola makubwa {America UK Faransa china Russia na mbwa zao zengine } mbona wana kaa kimya na kuufyata mkia ?!! hatujasikia hata onyo wala kashfa.!! Nikupe takwimu ya mukhtasari tu... Kuna Christians zaidi ya milioni 3 kati ya wageni wanaoishi huko SaudiArabia (kati ya wageni milioni 8 kwa ujumla). hao wandugu Kwanini wasidai haki zao za kuabudu na kudai kujenga Kanisa na kwa kupitia mgongo wa US UK FRC nk???? wakati UN {umoja wa mataifa walo madarakani ni majority Christians/kiristoz !! } Tafadhali usipotoshe umma kwa kuwa wewe umeudhika na watu waimani iingine au kutokana na karaha zako binafsi, Yaani your countrymen wapo huko SaudiaArabia wanawajibika migodini,Mashmbani,MaBenki,Maofisini,Mahospitali, nk. hao mbona wanatuma petroDollarz nyumbani...Hayo wewe huyasemi....kinachokuuma ni The Great Bible!! ha ha ha ha... bado mnamsafara mrefu kuongoka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…