Natafuta mume wa kweli

Natafuta mume wa kweli

Sikudanganyi. Sayansi ndivyo inavyosema.

Wewe ndie unadanganya sababu haiwezekani mwanamke wa miaka 45 akapata watoto watatu akiwa above 45.

Nakuwekea evidence kuonesha nachosema sijakitunga mimi bali ni sayansi.


Wanaume kukwepa risk kama hizo ndio maana wanaoa wanawake wenye umri mdogo. Chini ya miaka 30
Sayansi sio Mungu
 
Bora wewe upo tayari kunioa wengine wanasema kunioa mie single mom Bora safe😥 inasikitisha eti?
Tumetofautiana ila hatujui kesho itatulrtea nini, ntaoa yeyote nikiwa na utayari wa kufanya hivyo. Mbona single moms wanaolewa wengi tu
 
Back
Top Bottom