Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Uvunguni kabisaImetoka kwa moyo kweli?
HiJmn mh nn mbona mnaguna au sistahili kupta mwenza
Jichanganye kwenye mikusanyiko ya watu lakini yenye nidhamu kama harusini,kanisani,vikao vya mtaa,jumuia.utapata mume huko,huku ulikokuja utajuta shauli yakoMimi ni binti wamiaka 24, elimu yangu ni diploma ya nursing nimejitokeza kwenu wanajamii, nilikuwa natafuta mume alieko siriaz na ndoa nasio kuumizana, sichagui dini lakini awe anajishughulisha na shughuli yoyte yabkumuingzia kipato pia anizidi umri kuanzia miaka 25 kuendelea.
Alieko tiyari naomba uje pm tuzungumze.
Note; Utani siitaji kwasababu nipo siriaz zaidi mnavyofikiria sababu niko siriaz sana.
Nipo tumia namba hii 0655182731Mimi ni binti wamiaka 24, elimu yangu ni diploma ya nursing nimejitokeza kwenu wanajamii, nilikuwa natafuta mume alieko siriaz na ndoa nasio kuumizana, sichagui dini lakini awe anajishughulisha na shughuli yoyte yabkumuingzia kipato pia anizidi umri kuanzia miaka 25 kuendelea.
Alieko tiyari naomba uje pm tuzungumze.
Note; Utani siitaji kwasababu nipo siriaz zaidi mnavyofikiria sababu niko siriaz sana.
umeshaenda pmsawa dkatri ngoja mgonjwa nije unipe tiba
mm najua wapo serious kumbe mauza uzaWakuu pitieni hii post mtagundua huyu ni mbabaishaji![emoji116]
Natafta mchumba awe mume wa baadae
Hii picha yake alipost alipo anza kutumia hiyo Id
![]()
bado nlikua nasubir unisindikizeumeshaenda pm
Wachache kama huyu ndo wanawaharibia wenzao ambao wako serious!mm najua wapo serious kumbe mauza uza