Natafuta mume

Kumbe ni mpenzi siyo mume! Binadamu siku hizi mmekuwa wabaguzi sana. Yaani unatoa kashfa kwa binadamu wenzio utadhani wewe siku ukifa utaliwa nyama! Halafu huyo ni msomi wa level ya degree! Kuna haja ya hizi degree kufanyiwa uchunguzi upya. Zingine zimebaki kwenye karatasi hazikuhamia kichwani.
 
sifa zako wewe ni zipi kwanza..??..maana unataka sifa wakati na wewe sifa za kwako yawezekana sio pendwa kwa mwenye sifa uzipendazo..!!!..
 
Kweli wewe ni chizi! Hujazingatia vigezo ulivyovitaka maana ukisema hautaki mwalimu na ukiempata ni mwalimu.yaani kama ni mm ningekuwa mwalimu nijgekugegeda afu nakutupilia mbali.
 
Unaopishananao kila siku, ulikosoma, unakoishi na unakofanyia kazi yaani wanakuona laivu wamekushindwa, tutakuwezaje sisi tusiojua hata jinsia yako?
Pole sana kwako
Ila ungewekamo kapicha kangekusaidia lkn usiende kopa picha kwa jirani.
 
huyo mwl. wa sekondari ana masters ya nini? Je ni head master? na kipato chake kimefikia 1 mil? tunaomba mrejesho
 
Kweli wewe ni chizi! Hujazingatia vigezo ulivyovitaka maana ukisema hautaki mwalimu na ukiempata ni mwalimu.yaani kama ni mm ningekuwa mwalimu nijgekugegeda afu nakutupilia mbali.
hahaha mkuu umenichekesha kishenzi, unajua Mungu hakupi unachotaka anakupa stahiki yako, nafikiri huyu dada size yake ni mwl. level ya engineer sijui dr. tupa kule
 
Ulisema hutaki mwalimu wa aina yoyote

SASA HIVI UNATWAMBIA UMEMPATA MWALIMU.

ARE YOU CRAZY?????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…