Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ni mpenzi siyo mume! Binadamu siku hizi mmekuwa wabaguzi sana. Yaani unatoa kashfa kwa binadamu wenzio utadhani wewe siku ukifa utaliwa nyama! Halafu huyo ni msomi wa level ya degree! Kuna haja ya hizi degree kufanyiwa uchunguzi upya. Zingine zimebaki kwenye karatasi hazikuhamia kichwani.Mrejesho :
Nashukuru kwa mlionidhihaki na maneno na matusi yenu but mi sio aina hiyo ya wasichana mnaodhani niliweka vigezo vile kupima ni aina gani ya wanaume waliopo Tanzania but nimegundua wengi wenu kujiamini ni ziro ila wanachojua ni matusi but naishukuru Jf kwa kunipatia mpenzi ambaye ni mwalimu wa Secondary kwa shule flani hapa dar ingawa PM walikuja wengi kwa kujifanya wana pesa but sikuhitaji vyote hivyo ila nilihitaji mwanaume ambaye anajiamini as a man
AHSANTENI SANA WANA JF
Mimi ni binti na elimu ya degree natafuta mume
Vigezo
Elimu:masters na kuendelea
Umri:28-33
Kazi:uwe doctor au engineer utapewa kipaumbele kama ni mfanyabiashara uwe na uhakika wa kupata 1 million per month sitaki mwalimu wa aina yeyote yule
Dini:uwe mkristu pure madhehebu yoyote isipokuwa msabato sitaki
NOTE:
Kama haikuhusu pita kimya kimya kumbuka kupima HIV lazima kabla ya chochote pia uwe mrefu na handsome boy mweusi tii simtaki uwe maji ya kunde au mweupe kiasi sio mweupe kama papai.
Kama upo tayari nifate PM
Unaolewa na degree dada yangu? Pale UDSM wapo Maprof. kibao vipi huwezi kupeleka pale tangazo lako?naonwa tena sana ila shida wanaoniona wote nahisi tuko value tofauti cause nishakuambia sitaki degree holder so hao siwahitaji na ndo wengi wanifatao
Mungu anakuona[emoji38] [emoji38]Maringo yote haya afu unakuta mwanamke mwenyewe flat screen!
Na kama vigezo ndio hvyo mtengeneze wa kwakombona una lawama sana kaka si upite tu kama vigezo huna wapo wenye vigezo vyao watakuja
hahaha mkuu umenichekesha kishenzi, unajua Mungu hakupi unachotaka anakupa stahiki yako, nafikiri huyu dada size yake ni mwl. level ya engineer sijui dr. tupa kuleKweli wewe ni chizi! Hujazingatia vigezo ulivyovitaka maana ukisema hautaki mwalimu na ukiempata ni mwalimu.yaani kama ni mm ningekuwa mwalimu nijgekugegeda afu nakutupilia mbali.
😀😀😀! Kuna haja ya hizi degree kufanyiwa uchunguzi upya. Zingine zimebaki kwenye karatasi hazikuhamia kichwani.
Mmmhndo mana nimekuambia kama haikuhusu pita kimya naijua value yangu na si kwamba sina mtu ninaye na mwenye nia ya kunioa shida tuna value tofauti
single mama to be...
Ulisema hutaki mwalimu wa aina yoyoteMrejesho :
Nashukuru kwa mlionidhihaki na maneno na matusi yenu but mi sio aina hiyo ya wasichana mnaodhani niliweka vigezo vile kupima ni aina gani ya wanaume waliopo Tanzania but nimegundua wengi wenu kujiamini ni ziro ila wanachojua ni matusi but naishukuru Jf kwa kunipatia mpenzi ambaye ni mwalimu wa Secondary kwa shule flani hapa dar ingawa PM walikuja wengi kwa kujifanya wana pesa but sikuhitaji vyote hivyo ila nilihitaji mwanaume ambaye anajiamini as a man
AHSANTENI SANA WANA JF
Mimi ni binti na elimu ya degree natafuta mume
Vigezo
Elimu:masters na kuendelea
Umri:28-33
Kazi:uwe doctor au engineer utapewa kipaumbele kama ni mfanyabiashara uwe na uhakika wa kupata 1 million per month sitaki mwalimu wa aina yeyote yule
Dini:uwe mkristu pure madhehebu yoyote isipokuwa msabato sitaki
NOTE:
Kama haikuhusu pita kimya kimya kumbuka kupima HIV lazima kabla ya chochote pia uwe mrefu na handsome boy mweusi tii simtaki uwe maji ya kunde au mweupe kiasi sio mweupe kama papai.
Kama upo tayari nifate PM
haya ni maajabu yanayopatikana Tanzania pekeeUlisema hutaki mwalimu wa aina yoyote
SASA HIVI UNATWAMBIA UMEMPATA MWALIMU.
ARE YOU CRAZY?????