Natafuta mume

Sidhani kama upo kamili au una sifa stahiki,maana ungekuwa na sifa hapa usingefika maana upo unapokaa na kupita ungekua umeshapata,na nani anataka kutongozwa na mwanamke?subiri utafutwe kama unatafuta basi una kasoro za wazi.
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]
Kwani mtu akija kusaka mume au mke hapa ndo worst?
 
Punguza vgezo vya udini watu tuchukue jiko
 
Reactions: SDG
Kwenye mshahara hakuna tatzo ila punguza udini tuanze maisha
 
Wewe ungesema unafanya shughuri gani, siyo kutaka mteremko tu! , utasanda mjini hapa!
 
Daby brother wangu huyu ana vigezo vyote na kazidi ila hapo kwenye kupima HIV ndio utakapomkosa hapo. atakupiga na ngumi juu
 
Tukuone kwanza ulivyo, kapicha tafadhali. Huko uliko wanaume wa sifa hizo hawapo?.
 
eti nipo above 30 ningekuwa above ningekuja na vigezo vyote hivyo ukiona hivyo it means I am still young that's why sihitaji bora mume ila mume bora
Mume bora ndo unamtata um???,,,unaish msituni au....hakuna watu unaish nao ili uchague mwnye vigezo vyako???.yan ww utakua niwale wanawake rejected either kwa muonekano mbovu au unajickia alaf hauna ata chamaana....we rud mtaani kwenu katongoz usituletee nyodo umu
...km unajua "value_naona ndo neno pekee lipo karibu" yako weka napicha ufananishwe navigezo...useme na degree yann nachuo gan
 
Vigezo vya ndoa 2017 vinabadilika,tangazo la 2 hili
 
Mimi ninavyo vigezo vyote ili nahitaji Bikra,
Nataka nimfungue mwenyewe kufuli.

Kama nawe umekidhi vigezo hivyo sasa
 
Wahitaji mume! Ni sawa ila wewe sio MKE unaehitajika.... dada endelea kuwa single jitahidi kuwa na kipato kizuri labda hapo utawapata masharobaro wavivu.... wakuzalishe.
Mujarabu kbs hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…