SDG
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 7,631
- 8,073
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji6]Sidhani kama upo kamili au una sifa stahiki,maana ungekuwa na sifa hapa usingefika maana upo unapokaa na kupita ungekua umeshapata,na nani anataka kutongozwa na mwanamke?subiri utafutwe kama unatafuta basi una kasoro za wazi.
Kwani mtu akija kusaka mume au mke hapa ndo worst?