Natafuta mume

kanisani kwenu hujapata tu Mme? hahaha mashart kibao utadhani ni usaili wa kujiunga usalama wa taifa
 
Zaa wako umsomeshe akuoe..
 
kama umekosa kote kwenye makundi yote, I mean, Uliposoma, kanisani, Mtaani, Kazini, Kwenye Mahotel yote, then waja hapa na masharti kibao??????? Hemu jitafakari tena Dada yangu.
hhahaahahaha umemuweza ajitafakari kwa kweli maana sio kwa mashart haya!!!
 
Tender inaonekana kuwa ngum kwetu ila ukishusha vigezo kidogo tu, bidders watakuwa wengi
Ili urahisishe kuchaguaji
Naomba kuwasilisha
 
Aina ya uandishi pia humtambulisha aliye nyuma ya maandishi.
Unaonekana unatabia ya ukali ukali na ni mjeuri.
Hayo ni mawazo yangu tu lkn.
sio lazima yawe kweli.

Kila la kheri.
Bado na najihoji una taka Mume au unataka sifa.
Awe awe awe Engeneer,doctor,Masters na kuendelea,1 million per month.

Kuna wanawake (baadhi)wameolewa na wanaume wenye sifa hizo.
lkn ndoa zao zinapumulia gesi.
Kuna wanawake (baadhi)wameolewa na wanaume wenye sifa moja wapo tu kati ya hizo au hana kabisa..lkn ndoa yao ni ya mfano wa kuigwa.

Mume bora ni zaidi ya sifa
unaweza ukatafuta mume mwenye sifa ukapata lkn usipate apatait ya kuishi nae.
Bora mume tu pengne ndicho unachoweza kukumbana nacho mara baada ya kupata sifa

Ndoa /Mume ni swala pana sana.

anyway,kila la kheri.
 
Masters na kuendelea vigezo na masharti uzingatiwa..kila la kheri mkuu
 
Ukimpata urudishe majibu hapa...Usisahau pia kuwa good men who are interested to marry a woman of your callibre are very scarce...jaribu pia kutoa tangazo hili kwenye colleges za engineering na vyuo vya MDs pia.
 
hahahaha asante Jf
Yani mwanaume awe na sifa zote hizo afu awe hajapata mtu anakusubiri wewe, kwanza mwanaume ukiwa na hizo sifa unatongozwa wala hutongozi, hapo ulitakiwa utoe na counter offer, yani what special will you offer.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ya leo kali!!!!
Haya mainjinia na madokta kazi kwenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…