Ndio maana hujapata mtu mpaka mda huuMimi ni binti na elimu ya degree natafuta mume
Vigezo
Elimu:masters na kuendelea
Umri:28-33
Kazi:uwe doctor au engineer utapewa kipaumbele kama ni mfanyabiashara uwe na uhakika wa kupata 1 million per month sitaki mwalimu wa aina yeyote yule
Dini:uwe mkristu pure madhehebu yoyote isipokuwa msabato sitaki
NOTE:
Kama haikuhusu pita kimya kimya kumbuka kupima HIV lazima kabla ya chochote pia uwe mrefu na handsome boy mweusi tii simtaki uwe maji ya kunde au mweupe kiasi sio mweupe kama papai.
Kama upo tayari nifate PM
well said mkuu...ajiwowe km anawezaVigezo vingi kama masharti ya kujiunga na freemason nani anavitaka?.Wanaume hatupangiwi vigezo, tunajipangia wenyewe.
ww mwenyew engeneer?,mweupe?,mrefu?, una degree moja unatka mastars umesahau kma ndege wafananao huruka pamoja?Mimi ni binti na elimu ya degree natafuta mume
Vigezo
Elimu:masters na kuendelea
Umri:28-33
Kazi:uwe doctor au engineer utapewa kipaumbele kama ni mfanyabiashara uwe na uhakika wa kupata 1 million per month sitaki mwalimu wa aina yeyote yule
Dini:uwe mkristu pure madhehebu yoyote isipokuwa msabato sitaki
NOTE:
Kama haikuhusu pita kimya kimya kumbuka kupima HIV lazima kabla ya chochote pia uwe mrefu na handsome boy mweusi tii simtaki uwe maji ya kunde au mweupe kiasi sio mweupe kama papai.
Kama upo tayari nifate PM
Human value is the same thats why they stink if they dont take bath, this is it !!!ndo mana nimekuambia kama haikuhusu pita kimya naijua value yangu na si kwamba sina mtu ninaye na mwenye nia ya kunioa shida tuna value tofauti
Mkuu sijawahi kuona mwanamke msomi na mjinga kama huyu.Mitaani umekosa na huku mitandaoni pia pamebuma.kisa?I can for sure tell you are arrogant!Mtoa post ni mji.nga na kamwe hutapata mume kwa staili hiyo. Sio hapa jukwaani tu hata uhamie kanisani ukaimba kwaya miaka mzima. Na nina wasiwasi hujui hata maana ya ndoa yenyewe.
Hivi unadhani ni mwanaume gani ataoa mwanamke ambaye anatangaza hadharani kuwa anataka kuolewa na mwanaume mwenye kipato Cha kuanzia milioni. Ili iweje? Ili uje kuifanyia Nini? Je utaweza kuitunza n kuizalisha zaidi au utakuja kuitumia Kama mwehu? Na ikiwa sitakuwa na uwezo wake kuzalisha hiyo milioni kila mwezi itakuwaje?
Hivi shule mlienda kukua au kufuta ujinga?
Kuna siku utawatafuta hata hao wenye degree hawatapatikana tenanaonwa tena sana ila shida wanaoniona wote nahisi tuko value tofauti cause nishakuambia sitaki degree holder so hao siwahitaji na ndo wengi wanifatao