Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rais kasema tusipangianeVigezo vingi kama masharti ya kujiunga na freemason nani anavitaka?.Wanaume hatupangiwi vigezo, tunajipangia wenyewe.
Anatafuta pa kutokea......[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana aisee.
Acha kuleta vigezo vingi
Kila la heri. Ila kwa akili zetu wanaume na kwa mwandiko huo sijui
Kuna Mkataba ulioandaliwa na mwanasheria??Mimi ni binti na elimu ya degree natafuta mume
Vigezo
Elimu:masters na kuendelea
Umri:28-33
Kazi:uwe doctor au engineer utapewa kipaumbele kama ni mfanyabiashara uwe na uhakika wa kupata 1 million per month sitaki mwalimu wa aina yeyote yule
Dini:uwe mkristu pure madhehebu yoyote isipokuwa msabato sitaki
NOTE:
Kama haikuhusu pita kimya kimya kumbuka kupima HIV lazima kabla ya chochote pia uwe mrefu na handsome boy mweusi tii simtaki uwe maji ya kunde au mweupe kiasi sio mweupe kama papai.
Kama upo tayari nifate PM
Tena kazi kubwa si kitoto haaaa,haaaa Wasabato na maticha wapite kando noma sanawanaume kazi mnayo .
I doubt hiyo elimu yako ya degree unayozungumzia. Wewe utakuwa unasoma QT sasa hivi. Hata mtu aliyesoma f5-6 amekuzidi mno.ningekuwa used nisingechagua hivyo na pia ndo mana we unaweza kununua kiatu elfu ishirini na kikafanana na chako but mwingine akanunua laki so try to understand quality huwa zinatofautiana za kitu chochote hata binadamu pia tuna quality na quantity differ
Hujamuelewa engeneers na doctors wana mishahara minono bwanaAina ya uandishi pia humtambulisha aliye nyuma ya maandishi.
Unaonekana unatabia ya ukali ukali na ni mjeuri.
Hayo ni mawazo yangu tu lkn.
sio lazima yawe kweli.
Kila la kheri.
Bado na najihoji una taka Mume au unataka sifa.
Awe awe awe Engeneer,doctor,Masters na kuendelea,1 million per month.
Kuna wanawake (baadhi)wameolewa na wanaume wenye sifa hizo.
lkn ndoa zao zinapumulia gesi.
Kuna wanawake (baadhi)wameolewa na wanaume wenye sifa moja wapo tu kati ya hizo au hana kabisa..lkn ndoa yao ni ya mfano wa kuigwa.
Mume bora ni zaidi ya sifa
unaweza ukatafuta mume mwenye sifa ukapata lkn usipate apatait ya kuishi nae.
Bora mume tu pengne ndicho unachoweza kukumbana nacho mara baada ya kupata sifa
Ndoa /Mume ni swala pana sana.
anyway,kila la kheri.
Na ni nadra kukuta engeneers kwa uzuri autakaoUkimpata urudishe majibu hapa...Usisahau pia kuwa good men who are interested to marry a woman of your callibre are very scarce...jaribu pia kutoa tangazo hili kwenye colleges za engineering na vyuo vya MDs pia.
Hujamuelewa engeneers na doctors wana mishahara minono bwana
Hapo nimekosa sifa moja me sio handsome lakini sifa zote zilizobaki ninazo nimesahau nahela kwel sina kwahiyo hapo sina vitu viwili
Mimi ni binti na elimu ya degree natafuta mume
Vigezo
Elimu:masters na kuendelea
Umri:28-33
Kazi:uwe doctor au engineer utapewa kipaumbele kama ni mfanyabiashara uwe na uhakika wa kupata 1 million per month sitaki mwalimu wa aina yeyote yule
Dini:uwe mkristu pure madhehebu yoyote isipokuwa msabato sitaki
NOTE:
Kama haikuhusu pita kimya kimya kumbuka kupima HIV lazima kabla ya chochote pia uwe mrefu na handsome boy mweusi tii simtaki uwe maji ya kunde au mweupe kiasi sio mweupe kama papai.
Kama upo tayari nifate PM