Natafuta mume

Natafuta mume

Natafuta mke ila awe na Masters Degree, kama vepe nenda skul then ukiipata unitafute ili nikusitiri
 
Du Hee Mimi ni Chartered Engineer ....ila siwezi kuoa kwA Sifa hizo ntakufa kwA stress
 
Nenda pale ERB utapewa majina ya Engineers wengi tu na namba zao ujichagulie
 
Kwanza tunaomba tujue wewe ni no gani. A, B, C, au D...
Naona tuanzie hapo.
 
Nmemuweka waz huyo n tapel c mke mtu kamuulza akasema anamtu ila anataka zaid. Mchukuen ila tambua nany mtasalitiwa tu huyo c mke ni mama wa maslah had condition ya monthly income. Duuujjjj
 
naonwa tena sana ila shida wanaoniona wote nahisi tuko value tofauti cause nishakuambia sitaki degree holder so hao siwahitaji na ndo wengi wanifatao
Dadaangu kwa kibur hicho angalia usije kufa bila kuolewa ………!!!
 
Jitahidi uumbe wako....... [emoji16][emoji742][emoji742][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji742][emoji16][emoji16][emoji742][emoji16][emoji16][emoji742][emoji16]
[emoji742][emoji742][emoji742][emoji742][emoji16][emoji742][emoji742][emoji742]
[emoji742][emoji16][emoji16][emoji742][emoji16][emoji16][emoji742][emoji16]
[emoji742][emoji16][emoji16][emoji742][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Nmemuweka waz huyo n tapel c mke mtu kamuulza akasema anamtu ila anataka zaid. Mchukuen ila tambua nany mtasalitiwa tu huyo c mke ni mama wa maslah had condition ya monthly income. Duuujjjj
shida vigezo hauna ila kelele nyingi mbona wenye vigezo wapo na wanajitokeza je ulitaka niseme nataka mtu wa form four wakati najua si hitaji la moyo wangu ili nifurahishe watu napenda mwanaume aliyenizidi kila kitu ili nimuheshimu cause nikimzidi baadhi ya vitu inaweza pelekea nikamdharau nami sipendi litokee hilo cause najijua ni msichana wa namna gani
 
mtu anayejiheshimu hawezi andika matusi ovyo ovyo nafikiri hata thinking capacity yako ipo in low level
Edit vigezo vyako vinakufanya uonekane empty kichwani mkuu
Mwanamke msitaarabu hawezi kuonesha kazi na kipato anachohitaji hiyo inabaki kua siri yake mwenyewe sasa wewe umeandika jambo linalokufanya uonekane unatafuta business partner sio mume
 
Mimi ni binti na elimu ya degree natafuta mume
Vigezo
Elimu:masters na kuendelea
Umri:28-33
Kazi:uwe doctor au engineer utapewa kipaumbele kama ni mfanyabiashara uwe na uhakika wa kupata 1 million per month sitaki mwalimu wa aina yeyote yule
Dini:uwe mkristu pure madhehebu yoyote isipokuwa msabato sitaki
NOTE:
Kama haikuhusu pita kimya kimya kumbuka kupima HIV lazima kabla ya chochote pia uwe mrefu na handsome boy mweusi tii simtaki uwe maji ya kunde au mweupe kiasi sio mweupe kama papai.
Kama upo tayari nifate PM
Kwa akili yako unadhani mwanaume mpaka anasoma masters au PhD hana mtu wake, kweli we sio mzima.
Ukweli ni kwamba wanaume tulio enda shule huwa tunapenda wanawake wa kawaida sana, hawa wanaojiona matawi huwa tuna suuza lungu tu tunaacha.
 
mtu anayejiheshimu hawezi andika matusi ovyo ovyo nafikiri hata thinking capacity yako ipo in low level
Wanaojiheshimu wameshaolewa. Ukweli ndio huo lazima uzeeke vibaya coz wanaume wenye vigezo hivyo hawezi kuhangaika kutafuta mnaojiuza humu.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Dada kwamaisha aya ya mzee baba deleva walori upatimtu humu we pita hivi
 
Wewe dada hapana aisee,utadhani unaenda kuomba kazi white house...Utajioa mwenyewe
 
we ungekua navalue unayojifanya nayo ungekuja kujitangaza apa???....nyie ndo wale mbwembwe nyingi kumbe mna maumbo km tembo mgongo umeunganika na kiuno....kama unae c umwambie akuoe????...kama hana mastas msomeshe au mpe mtaji il awe na iyo mil kwa mwezi...wadada km nyie ndo wale mnazeekea kwenu nanyodo zakifala wkt mnahitaj ndoa....nahc kwanza you are above 30 kwa iyo tayar upo desperate...
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Umeua aisee
 
Back
Top Bottom