lukubha lugosha
Senior Member
- Oct 5, 2016
- 105
- 54
Au ina GPRS?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dadaangu kwa kibur hicho angalia usije kufa bila kuolewa ………!!!naonwa tena sana ila shida wanaoniona wote nahisi tuko value tofauti cause nishakuambia sitaki degree holder so hao siwahitaji na ndo wengi wanifatao
Ajira gani wakati inatakiwa uingize kipato ine milioni per mounth?Wenye sifa ajira hiyo hapo ishatangazwa[emoji3]
Kama nakuona vile ulivyo panic [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],joking tu bhana ndio kitu ambacho,coz kila mtu na mpangilio wake wa maisha.sina sifa haya umeridhika
wala sijakasirika ndugu yanguKama nakuona vile ulivyo panic [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23],joking tu bhana ndio kitu ambacho,coz kila mtu na mpangilio wake wa maisha.
shida vigezo hauna ila kelele nyingi mbona wenye vigezo wapo na wanajitokeza je ulitaka niseme nataka mtu wa form four wakati najua si hitaji la moyo wangu ili nifurahishe watu napenda mwanaume aliyenizidi kila kitu ili nimuheshimu cause nikimzidi baadhi ya vitu inaweza pelekea nikamdharau nami sipendi litokee hilo cause najijua ni msichana wa namna ganiNmemuweka waz huyo n tapel c mke mtu kamuulza akasema anamtu ila anataka zaid. Mchukuen ila tambua nany mtasalitiwa tu huyo c mke ni mama wa maslah had condition ya monthly income. Duuujjjj
Edit vigezo vyako vinakufanya uonekane empty kichwani mkuumtu anayejiheshimu hawezi andika matusi ovyo ovyo nafikiri hata thinking capacity yako ipo in low level
Kwa akili yako unadhani mwanaume mpaka anasoma masters au PhD hana mtu wake, kweli we sio mzima.Mimi ni binti na elimu ya degree natafuta mume
Vigezo
Elimu:masters na kuendelea
Umri:28-33
Kazi:uwe doctor au engineer utapewa kipaumbele kama ni mfanyabiashara uwe na uhakika wa kupata 1 million per month sitaki mwalimu wa aina yeyote yule
Dini:uwe mkristu pure madhehebu yoyote isipokuwa msabato sitaki
NOTE:
Kama haikuhusu pita kimya kimya kumbuka kupima HIV lazima kabla ya chochote pia uwe mrefu na handsome boy mweusi tii simtaki uwe maji ya kunde au mweupe kiasi sio mweupe kama papai.
Kama upo tayari nifate PM
Wanaojiheshimu wameshaolewa. Ukweli ndio huo lazima uzeeke vibaya coz wanaume wenye vigezo hivyo hawezi kuhangaika kutafuta mnaojiuza humu.[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]mtu anayejiheshimu hawezi andika matusi ovyo ovyo nafikiri hata thinking capacity yako ipo in low level
hahahahaha tukomae na chips zetu mkuu tutatoka tuHaya ngoja wauza chips tubaki bila kuoa
[emoji23][emoji23][emoji23]fanya ku pm mkuu....Mimi nalima matikiti maji, naruhusiwa kuapply?
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]Umeua aiseewe ungekua navalue unayojifanya nayo ungekuja kujitangaza apa???....nyie ndo wale mbwembwe nyingi kumbe mna maumbo km tembo mgongo umeunganika na kiuno....kama unae c umwambie akuoe????...kama hana mastas msomeshe au mpe mtaji il awe na iyo mil kwa mwezi...wadada km nyie ndo wale mnazeekea kwenu nanyodo zakifala wkt mnahitaj ndoa....nahc kwanza you are above 30 kwa iyo tayar upo desperate...