Unakaa mkoa gani?Jamani kama kichwa habari kinavyojieleza ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba
Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati
Mimi ni mkristo nina elimu ya kutosha kujitambua, mwajiriwa wa serikali umri wangu 30+
AmenKila la kheri mamii, Mungu akupe hitaji la moyo wako mpendwa.
mkuu unaposema mrefu kuwa specific kwa units fulan.mfano cm au ft kadhaa.Jamani kama kichwa habari kinavyojieleza,
Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo nina elimu ya kutosha kujitambua, mwajiriwa wa serikali umri wangu 30+.