Natafuta mume

Natafuta mume

Nilea

Member
Joined
Dec 12, 2017
Posts
36
Reaction score
68
Jamani kama kichwa habari kinavyojieleza,

Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo nina elimu ya kutosha kujitambua, mwajiriwa wa serikali umri wangu 30+.
 
Jamani kama kichwa habari kinavyojieleza ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba
Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati

Mimi ni mkristo nina elimu ya kutosha kujitambua, mwajiriwa wa serikali umri wangu 30+
Unakaa mkoa gani?
 
Ulikuwa wapi kwani haujawahi kuwa na mchumba mlikuwa mnafikia wapi au walikuwa wanatangaza nia ya kuoa wewe ukawa bado ukawa unakula ujana
 
Jamani kama kichwa habari kinavyojieleza,

Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo nina elimu ya kutosha kujitambua, mwajiriwa wa serikali umri wangu 30+.
mkuu unaposema mrefu kuwa specific kwa units fulan.mfano cm au ft kadhaa.
urefu ni relative mkuu.
 
Back
Top Bottom