Eng.Dullah
JF-Expert Member
- Sep 24, 2014
- 372
- 304
kwani wewe ushaoa>Daaahhh umeandika kwa hisia sana na unyenyekevu wa hali ya juu !!.
Ukapate hitaji lako .
kwani wewe ushaoa>Daaahhh umeandika kwa hisia sana na unyenyekevu wa hali ya juu !!.
Ukapate hitaji lako .
mke ndo huyo sasa au vigezo vinakushinda?
Haya wengi, be blessed.Hatari sana aiseeh, namshukuru Mungu kwakweli sijawahi kukosea.
Elimu ya kati ikoje dada yangu?Jamani kama kichwa habari kinavyojieleza,
Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo nina elimu ya kutosha kujitambua, mwajiriwa wa serikali umri wangu 30+.
AmenDaaahhh umeandika kwa hisia sana na unyenyekevu wa hali ya juu !!.
Ukapate hitaji lako .
[emoji120][emoji120][emoji120]Haya wengi, be blessed.
Vigezo ninavyo mkuu ..ila ngoja niwe Wa mwisho kufikiriwa !!.mke ndo huyo sasa au vigezo vinakushinda?
Je, wewe una bikra? Kama huna aliyeitoa kwanini hukuoana naye? Kwanini amekuacha? Wanaume wenye akili timamu wenye umri 30+ wameshaoa au wana mahusiano ya kimapenzi na wanawake wengine, ongea na kubalianani na uliyenae muoane kama yupo. Ningependa kufahamu habari za Group la damu yako, kifafa, kisukari, pressure, saratani, na magonjwa mengine ya kurithi yaliyoko kwenye ukoo wenu. Magonjwa haya ya kurithi yanaambukizwa kwa njia ya kuoana na mwenza mwenye au anayetoka kwenye familia yenye magonjwa hayo.Jamani kama kichwa habari kinavyojieleza,
Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo nina elimu ya kutosha kujitambua, mwajiriwa wa serikali umri wangu 30+.
Jamani kama kichwa habari kinavyojieleza,