Natafuta mume

Ni kipm Nalea hujib why?
 
Bahati yangu Hii!!! Ngoja nije tuyajenge
 
Dada jaribu kuhudhuria ndoa uone wanaoa siku hizi wanavigezo gani kwanza? Sikujui lakini nikwambie kuna washichana uliowazidi miaka zaidi ya kumi kwa huo tu ulioutaja hapo. Wanaolewa na wakaka wafupi tuu au medium size. Hao warefu angalia utawasuburi sana. Lakini kama ni lengo lako la maisha subiri litimie.
 
hizi dini za middle east zinatubagua kweli cheki sasa nishakosa mke kisa dini tofauti
 
Kwa coment hz sidhani kama bado una moyo wa kutaka mume humu... Kila la kheri mamy
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…