Gezuz
JF-Expert Member
- Dec 17, 2016
- 1,010
- 1,349
Kizungulish hiki jamaniAm qualifying plz just PM
.....duuuuuuh!!
si mbaya lakini mbona
hata mkulu
wa magogoni hakijui.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kizungulish hiki jamaniAm qualifying plz just PM
Sogea huku kwa pmJamani kama kichwa habari kinavyojieleza,
Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo nina elimu ya kutosha kujitambua, mwajiriwa wa serikali umri wangu 30+.
watu wafupi wasumbufu xana..yaani nshaapa kudate na wakaka wafupiVp wafupi kwanin huwapendi??
Njoo pm mama tuyajengeJamani kama kichwa habari kinavyojieleza,
Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo nina elimu ya kutosha kujitambua, mwajiriwa wa serikali umri wangu 30+.
Natafuta mke pia njoo privertJamani kama kichwa habari kinavyojieleza,
Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo nina elimu ya kutosha kujitambua, mwajiriwa wa serikali umri wangu 30+.
Jamani kama kichwa habari kinavyojieleza,
Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo nina elimu ya kutosha kujitambua, mwajiriwa wa serikali umri wangu 30+.
Kama unataka kweli pm niko dar tuwasilianeJamani kama kichwa habari kinavyojieleza,
Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo nina elimu ya kutosha kujitambua, mwajiriwa wa serikali umri wangu 30+.
Kweli kabisaa mkuu. Kapicha kataweza kumrahisishia mambo.Muwe mnaweka na kapicha, utajitokeza hadi Mara ya tatu