Natafuta mume

Natafuta mume

Kila la heri na baraka ufanikiwe kumpata mwenzio katika maisha.

Jamani kama kichwa habari kinavyojieleza,

Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo nina elimu ya kutosha kujitambua, mwajiriwa wa serikali umri wangu 30+.
 
siku hizi tunaogopa watu wasiojulikana wanaotafuta particulars zetu
 
Jamani kama kichwa habari kinavyojieleza,

Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo nina elimu ya kutosha kujitambua, mwajiriwa wa serikali umri wangu 30+.[/
je wewe unasifa gani kimaumbile..je mfupi au mrefu,mweupe au mweusi,mnene au mwembamba?
 
Jamani kama kichwa habari kinavyojieleza,

Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo nina elimu ya kutosha kujitambua, mwajiriwa wa serikali umri wangu 30+.

Ili awe mume lazima mpite kwenye uchumba.

Kila la kheri
 
Jamani kama kichwa habari kinavyojieleza,

Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo nina elimu ya kutosha kujitambua, mwajiriwa wa serikali umri wangu 30+.
Na siku mkitaniana anakuambia nilikupata jamii forum ww kwenye tangazo lako
 
Jamani kama kichwa habari kinavyojieleza,

Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo nina elimu ya kutosha kujitambua, mwajiriwa wa serikali umri wangu 30+.
nitafute 0763513801
 
Sijui nimechelewa!! Kama bado karibu Pm tufahamiane mama
 
Nilea,nitafute kwa 0788685390.

Ninazo sifa ulizozitaja hapo juu tafadhali.

Nina elimu na nimwajiriwa.

Miaka 31
 
Back
Top Bottom