BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Kila la heri na baraka ufanikiwe kumpata mwenzio katika maisha.
Jamani kama kichwa habari kinavyojieleza,
Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo nina elimu ya kutosha kujitambua, mwajiriwa wa serikali umri wangu 30+.