Natafuta mume

Natafuta mume

Samahani Kama Nitakera Je Ni kwamba katika early 20s mpaka late 20s ulishindwa kupata Mchumba? au Hukutafuta?
 
Jamani kama kichwa habari kinavyojieleza,

Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo nina elimu ya kutosha kujitambua, mwajiriwa wa serikali umri wangu 30+.

UNGEKUWA NA SIFA HIZI ULIZOTAJA UNGEKUWA USHAOLEWA NA UNA WATOTO WAWILI
 
Ukifikisha kigezo cha elimu ya f4 na ulefu wowote unistue pm
 
Mara ya pili!!! Sasa mara ya tatu usije huku,tukutane kanisani tuvalishane Pete sawaa.
 
Jamani kama kichwa habari kinavyojieleza,

Ni mara pili sasa natafuta mume na sio mchumba.Umri 30+ awe mkristo na pia elimu ya kati awe mrefu mwenye upendo na mapenzi ya dhati. Mimi ni mkristo nina elimu ya kutosha kujitambua, mwajiriwa wa serikali umri wangu 30+.
Mimi nipo tayari kuwa Mme umri wangu ni 31+,kwakifupi nina Bachelor ya civil engineering.
Kama hutojali njoo inbox tuwekane sawa
 
Mtoa mada katafute mume mtaani kwenu....humu kuna vibenteni....
 
Sasa na mie mwenƴe sura ƴa dk lemi ongala mtoro naweza kukupata uwe wangu?
 
aaaahh wazee mnatafutana wenyew kwa wenyeweee
 
Kutamka jina lako hadharani ni kunishushia heshima yangu dear,

Heri ya mwaka mpya mpendwa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] Heri ya wote mama.
Kwani huwa unahisi ni tamuuuuu sn hiyo tamuuuuu?
 
Back
Top Bottom