Mkuu mputi yako nimeona na ndo maana nkasema vile. Usiwe mbishi kwani kuzalishwa ni vibaya? Basi nisamehe dada rose.Shida ni hii output ya tecno.
Rudia kusoma hizo output zako
Wee **** umetumwaMkuu mputi yako nimeona na ndo maana nkasema vile. Usiwe mbishi kwani kuzalishwa ni vibaya? Basi nisamehe dada rose.
Hamna rose kwani nani kanituma? Sawa lakini usijali tuko pamoja.Wee **** umetumwa
Nikweli kabisaHapa ndo weng hesabu zenu mnakosea !!.
Ushajua ID yako ya awali ilijaa maluwe luwe ,basi mnakuja na ID mpya !!.ivi unadhan hata uyo mwanamme atakayekuja ,yeye Hajui ulikua na ID ingine apo wali ?.
Embu njooni ktk Uhalisia wenu bana ,nini mnachoogopa ??
Haya nimatokeo ya ulichokua unakifanya na kukisema humu ,, MTU kama unajijua ulikua unafanya nakusema mzur, haina haja ya kuja na ID mpya !!. Sure hamna muoaji asotaka kujua niwapi umetokea.
Basi hata ungeacha kidogo upost post na kukoment post nzur zenye uvuto ,ili uwavutie, sasa hilo nalo linakushinda !!
Sister am very sory to say this ,," watakuja ma boyfriend lkn sio Mumefriend" ..hapa ndipo utajua Mwanamme nikiumbe mwenye Akili.
Pambana na hali yako mrsHamna rose kwani nani kanituma? Sawa lakini usijali tuko pamoja.
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Pambana na hali yako mrs
Kumbe ke[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Nashukuru napambana nayo.
Ni ke mwenzioKumbe ke
Baba nae ke sio..Ni ke mwenzio
Ila baba ako ana wowoNi ke mwenzio
Hapana ila mama ako ana wuwuwu tu.Ila baba ako ana wowo
Hahahaah kumbe na wewe mwajuma unachukia ee...safi sana.Hapana ila mama ako ana wuwuwu tu.
Miss youSie wa urefu wa wastani
Ooohh thanks, likewise i miss you tooMiss you