Natafuta mume

Natafuta mume

tupia picha yako hapa nikuchote ila najuwa wajanja wamesha maliza tuwi lote limebaki kapi tu ndo unataka kunishikisha ni zeeke nalo, duuh!!*
 
Kuna watu wanatafutwa naona bado hawapatikana, umri huo atakuwa bado tu.
 
Hapa ndo weng hesabu zenu mnakosea !!.

Ushajua ID yako ya awali ilijaa maluwe luwe ,basi mnakuja na ID mpya !!.ivi unadhan hata uyo mwanamme atakayekuja ,yeye Hajui ulikua na ID ingine apo wali ?.

Embu njooni ktk Uhalisia wenu bana ,nini mnachoogopa ??

Haya nimatokeo ya ulichokua unakifanya na kukisema humu ,, MTU kama unajijua ulikua unafanya nakusema mzur, haina haja ya kuja na ID mpya !!. Sure hamna muoaji asotaka kujua niwapi umetokea.

Basi hata ungeacha kidogo upost post na kukoment post nzur zenye uvuto ,ili uwavutie, sasa hilo nalo linakushinda !!

Sister am very sory to say this ,," watakuja ma boyfriend lkn sio Mumefriend" ..hapa ndipo utajua Mwanamme nikiumbe mwenye Akili.
😡😕😎😀
 
Habari wana JF natafuta mume wa kuanzia miaka 35+
SIFA
Awe mkiristo
Mwenye hofu na Mungu
Mwenye upendo wa dhati
Awe na rangi at least(maji ya kunde +
Asiwe bonge
Mwenye shughuri ya kumuingizia kipato
Mrefu

SIFA zangu,
Mweusi
Mwili wastani
Elimu graduate
Urefu wastani.




Karibu
Unapatikana mkoa gani ?
 
Mara ya Mwisho alikuaga kuwa anakuja Jamii Forums?
Alivaa nguo gani?
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sasa wewe umeweka sifa kibaao za unayemtaka badala ungesema zaidi kuhusu wewe

Wanaume hawako desperate kama wanawake .

Eti awe na shughuri yaa kuingiza kipato my dear unatafuta mlezi au mume[emoji28][emoji28][emoji28] badili bandiko lako we sema unatafuta mume baasi alie ma uwezo wa kukulea atakuja
 
Back
Top Bottom