Natafuta mume

Natafuta mume

Usiogope majukumu dreka kufanya au kuto kufanya kazi sio kigezo kwani wewe unaenda kuishi na mwana mke na sio kazi yake. Na istoshe acha kuya kimbia majukumu yako ya kutunza mke na familia huo ni wajibu ulio pewa na mungu.

Acha ubinafsi walio na kazi wasio na kazi wote Wana haki sawa ya kumpata mwanza.
Nmeuliza tu
sio kwa nia mbaya.

What if nataka kutangaza nia.
je sistahili kumfaham vizuri?

Sema shida sjafika hata miaka 30
 
Binti huku kuna majambazi, be care full na ujiandae kuwa make wa pili, hao unaowatafuta,wana watoto wamezalisha tiyari, wengine wagame, wengine maario tegemezii, watakunyonya hadi damu. Wanapenda kulelewa.
Unapeperusha ndege wetu wewe sasa
 
Dah... Safari hii naona vijana wa kumbukumbu mmekuja na mbinu mpya....

[emoji13] [emoji87] [emoji41] [emoji125] [emoji125]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] kwakweli [emoji119] itakuwa anadhani kuwa warefu tu ndio wana dushe kubwa, imani potofu
Hahaha amekarifu hajui kuna warefu lakini wana vinasaba vya ufupi kila sekta hadi dushe
 
Unapeperusha ndege wetu wewe sasa
Usimkatishe tamaa mwenzio. Na kwa nini hutaki kumsamehe aliye kuzalisha hata sasa ili hali umeolewa huko kigamboni? [emoji12] [emoji12]. Msamehe bure dada rose uvumilivu ni ushindi ungevumulia tu. Wana ume wakamilifu hawapo mahali popote duniani ila Wana ume bora wako kila mahali na hata humu jf wamo wengi tuu.

Ni mtazamo tu dar rose sio chuki please [emoji8] [emoji8]
 
Tecno yako inakusumbua ee
 
Ndio mkuu ni tecno y 3 kwani Kuna shida yeyote mm kutumia hii na wewe kutumia hiyo [emoji40] [emoji40]
Shida ni hii output ya tecno.

Rudia kusoma hizo output zako

Back
Top Bottom