Nataka nitoe ushauri kidogo hasa kwa watu ambao hupendi ku post kuhusu kutafuta mwenza na kuweka vigezo.Kwanza kabisa amini usiamini if you r lookn for a rght women/man to marry first you should also be the right women/man...how ni maelezo marefu kidogo.Lakin pia vigezo mnavyoweka mkumbuke pia kwamba ukitaka u enjoy mapenzi jaribu kujifunza kukubali weakness za mwenzio...probability ya kupata exactly wat yo want ni ndogo sana cuz anaeza kua na vyote ulivyotaja au una wish akawa na kimoja tuu ambacho unaweza wish bora angekosa vile vyote ulivyotaja na sio hicho kimoja....Tujifunze kuishi kwa kukubali udhaifu au vitu ambavyo mwenzi wako anazo