Natafuta mume

Natafuta mume

Ndo maana nikasema uwe unatumia Akili kufikiria . hoja yangu imeegemea ID.

Mimi ninauhakika huyu mtoa mada nimwenyej humu na anajua kona zote za JF.Sasa kwann asingetumia ID yake ilozoeleka ??? Nn amekikimbia?/

Kwaiyo akibadili ID na vigezo pia vinabadilika ?? Unafikiria kweli ww???
Najaribu kukuchallenge. Maana katika hoja wanasema usitumie lugha kama ulivyotumia. Bse we may differ. That's why kwamtu mwenye fikra usingeniuliza kama nafikiria kwasababu nimekupa hoja zangu.
 
Najaribu kukuchallenge. Maana katika hoja wanasema usitumie lugha kama ulivyotumia. Bse we may differ. That's why kwamtu mwenye fikra usingeniuliza kama nafikiria kwasababu nimekupa hoja zangu.
Mimi nmekujibu sababu sijaona hoja ,hoja nilazima imfikirishe mtu ,Sasa ulichokiandika hakijanifikirisha !!.

Alafu sioni changamoto ulotoa zaidi yakuona unajikanyaga nakuongea kitu kama vile MTU asoelewa !!.

Nmekuuliza ,Kubadili ID kunamfanya na vigezo Vibadilike ??.

If Z ni anapenda Tall ,black.
Akibadili nakua Q ndo atapenda short white ???.

Au ulimaanisha sifa zake yeye mtoa mada ndo zinafanana nawengine ? Nahata kama zinafanana ?.Hitaji lake sini mwanamme ?.
 
Habari wana JF natafuta mume wa kuanzia miaka 35+
SIFA
Awe mkiristo
Mwenye hofu na Mungu
Mwenye upendo wa dhati
Awe na rangi at least(maji ya kunde +
Asiwe bonge
Mwenye shughuri ya kumuingizia kipato
Mrefu

SIFA zangu,
Mweusi
Mwili wastani
Elimu graduate
Urefu wastani.




Karibu

All the best.....................
 
Hujatuambia kama wewe unayoshughuli ya kukuingizia kipato
Habari wana JF natafuta mume wa kuanzia miaka 35+
SIFA
Awe mkiristo
Mwenye hofu na Mungu
Mwenye upendo wa dhati
Awe na rangi at least(maji ya kunde +
Asiwe bonge
Mwenye shughuri ya kumuingizia kipato
Mrefu

SIFA zangu,
Mweusi
Mwili wastani
Elimu graduate
Urefu wastani.




Karibu
 
Dah luckyline umejisuuza kirahisi hivi na nnavyokupendaga vile.
Wewe endelea kunipenda hivyo hakuna kilivhobadilika. Nilikuwa kamwambia indirect, tho najua hakuelewa, achana nae huyu mpenda vyura
 
Njoo kwangu nitakutunza
Sharti la kwanza lazima uwe umepima HIV kwanza
 
Habari wana JF natafuta mume wa kuanzia miaka 35+
SIFA
Awe mkiristo
Mwenye hofu na Mungu
Mwenye upendo wa dhati
Awe na rangi at least(maji ya kunde +
Asiwe bonge
Mwenye shughuri ya kumuingizia kipato
Mrefu

SIFA zangu,
Mweusi
Mwili wastani
Elimu graduate
Urefu wastani.




Karibu
Nakuja,uko wap
 
Hata muuza karanga huonjesha. Nina sifa zote. Je upo tyar kunionjesha maisha ya ndoa hata kwa siku Tatu tu?
 
Nataka nitoe ushauri kidogo hasa kwa watu ambao hupendi ku post kuhusu kutafuta mwenza na kuweka vigezo.Kwanza kabisa amini usiamini if you r lookn for a rght women/man to marry first you should also be the right women/man...how ni maelezo marefu kidogo.Lakin pia vigezo mnavyoweka mkumbuke pia kwamba ukitaka u enjoy mapenzi jaribu kujifunza kukubali weakness za mwenzio...probability ya kupata exactly wat yo want ni ndogo sana cuz anaeza kua na vyote ulivyotaja au una wish akawa na kimoja tuu ambacho unaweza wish bora angekosa vile vyote ulivyotaja na sio hicho kimoja....Tujifunze kuishi kwa kukubali udhaifu au vitu ambavyo mwenzi wako anazo
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Ha ha ha ha ha haaaaah [emoji23] [emoji23] JF kweli ni mahala pa burudani
 
Back
Top Bottom