Natafuta mume

Status
Not open for further replies.
Nenda kwa aliye kutoboa shimo na kukupa majukumu usiyo yaweza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta mume rejea tangazo la nyuma, najua mtajiuliza mbona sijapata asilimia 99 wanaotaka mawasiliano wanataka ngono hivo naishia kukata mawasiliano, nimekutana na mmoja tu mara moja ila hatujafika muafaka, sijakata tamaa bado natafuta.
 
Hebu jaribu kwangu inawezekana nikawa jibu la hitaji lako njoo pm.
 
Natafuta mume rejea tangazo la nyuma, najua mtajiuliza mbona sijapata asilimia 99 wanaotaka mawasiliano wanataka ngono hivo naishia kukata mawasiliano, nimekutana na mmoja tu mara moja ila hatujafika muafaka, sijakata tamaa bado natafuta.
Wanataka mawasiliano kivipi? Ni kwa namna gani utaweza kupata mchumba bila mawasiliano kuwepo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…