Natafuta mume

Status
Not open for further replies.
naona nimekosea kuja humu nlijua nitapata faraja ila nashambuliwa sikupenda wala sikutaka kuwa hivo
Usijali binadamu wana uhuru wa maoni tofauti ni kawaida. Usitegemee kusikia maoni ya kukufurahisha tu,kuna wengine watakufariji kama unavyotaka wewe.
 
Huyo mtoto kampe baba yake, mwanaume hawezi kulea mtoto asiye wake wakati baba yake anakula starehe,
 
Nakushauri ukae utulie mwanaume utampata tu ukijenga mazingira ya kuchanganyikana na watu au majirani nk
 
Huyo mtoto kampe baba yake, mwanaume hawezi kulea mtoto asiye wake wakati baba yake anakula starehe,
baba yake hamtaki tokea mimba,kasema akikua mtoto atamtafuta ila yeye hataki mtoto wala hawezi kumtafuta
 
baba yake hamtaki tokea mimba,kasema akikua mtoto atamtafuta ila yeye hataki mtoto wala hawezi kumtafuta
Ulitakiwa uchukue hatua za kisheria, au uligonganisha magari kila mmoja akachomoa? Kwasababu kwa hali ya kawaida mwanaume uliyenaye katika mahusiano hawezi kukataa mimba hadi mtoto kama mahusiano yako yanaeleweka.
 
pole sana dada
 
hapana yalikuwa mahusiaono thabiti kabisa na sijawahi kuwa na mwanaume mwingine,miaka yote mwanaume alikuwa hana kazi maalumu mimi ndiyo nlikuwa msaada kwake na kwa familia na kazi nlivyopoteza wakanigeuka tena hapo nlikuwa na ujauzito,hajaajiriwa hatua za kisheria nimeshindwa kuchukua ameoa mwanamke ukoo wa kitajiri mwanza natumani atakuwa na maisha mazuri
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…