Natafuta mume

Natafuta mume

Status
Not open for further replies.
Labda anataka aolewe kwa misingi ya kidini yaani hamna kubanjuana mpaka mfunge ndoa halafu baada ya mwezi aje hapa kulalamika kuwa mme ana kibamia au hasimamishi kabisa.
Try before use ndio mpango mzima
#Mzee baba legeza kidogo huku kitaani hali mbaya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kikawaida lazima tuitest mbunye kama ni salama kwa ajili ya matumizi ya kila siku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tunawasiliana siku 2 au 3 anasema tuonane anakuja na mipira nimpe hotelini.

Mapema sana
Maskini pengine baba wa watu ni yule golikipa wa timu yetu ya kijiji maana huwa tukitoka zoezini huwa yeye ndiye anaondoka na mipira yote sasa yawezekana ailitoka zoezini ndio akaja kuonana na wewe kabla hajafika nyumbani ulitegemea mipira aiache wapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta mume rejea tangazo la nyuma, najua mtajiuliza mbona sijapata asilimia 99 wanaotaka mawasiliano wanataka ngono hivo naishia kukata mawasiliano, nimekutana na mmoja tu mara moja ila hatujafika muafaka, sijakata tamaa bado natafuta.
Utapata tu mimi nilijaribu hii kitu wapo kweli ila kuna wengine wanataka wakupime kama umerukwa ukuta wengine wivu za hapa na pale wengine we ni mwanamke badili dini uwe muislamu ila kiukweli kabisa usikate tamaa yupo wa kuendana na wewe mahali utampata tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta mume rejea tangazo la nyuma, najua mtajiuliza mbona sijapata asilimia 99 wanaotaka mawasiliano wanataka ngono hivo naishia kukata mawasiliano, nimekutana na mmoja tu mara moja ila hatujafika muafaka, sijakata tamaa bado natafuta.
Unatafuta mume kibabe hivo? Utapata mbabe mwenzio
 
When you have doubts and questions, choose to say Lord, "I believe. I may not always understand, but I trust you."
Natafuta mume rejea tangazo la nyuma, najua mtajiuliza mbona sijapata asilimia 99 wanaotaka mawasiliano wanataka ngono hivo naishia kukata mawasiliano, nimekutana na mmoja tu mara moja ila hatujafika muafaka, sijakata tamaa bado natafuta.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Natafuta mume rejea tangazo la nyuma, najua mtajiuliza mbona sijapata asilimia 99 wanaotaka mawasiliano wanataka ngono hivo naishia kukata mawasiliano, nimekutana na mmoja tu mara moja ila hatujafika muafaka, sijakata tamaa bado natafuta.
Hata ningekuwa Mimi mzigo lazima utoe . Ukitaka mpaka ndoa sharti uwe haujawahi kuguswa hilo ndio sharti langu namba moja. Ukiwa bikra naweza kukusikiliza otherwise Bora mahusiano yafe hata kama nilikupenda kiasi gani hayo ni madharau wengine mzigo umewaachia wajipakulie Mimi eti mpaka ndoa no big no. Kaa na mzigo wako

Big Tick

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom