Natafuta mume

Hutaki Mwanaume Mchagga coz unajua korofie? Unamtaka mwanaume ndio mke wangu?
 
Ukifika 35yrs utapunguza vigezo automatically. Hapo kwenye education upande wa mume itakuwa any[emoji4]
 
Mtu wa Maisha huja automatically,Naomba Uwe mtulivu na Mshirikishe Mungu utapata Mume wa Kweli utaishi maisha mazuri na utaandaa familia bora na kizazi kizuri na inshu ya Elimu au vigezo ulivyoweka usivipe kipaumbele zaidi
 
Hakuna mchumba hapa wala 'msebule'
Kuna mtu anatafutwa hapa,wapenda vidosho lazm watanaswa hapa.
 
Dada degree ya nini?Nina mashaka elimu yako haijakusaidia!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…